1. Wachina wanapigania kushika nafasi ya kwanza kwenye uchumi duniani baada ya kuzishinda nchi kibao kiuchumi ikiwemo Israel yenyewe.Hahahah kwahiyo??????....OK basi Israel bingwa ilirusha mabomu hahahahah.... nyie watu bhana hivi akili mnapelekaga wapi...🤔
Kumbe ni dhaifu vile mpaa akamuombe Trump arushe taulo jeupeKwamba Mungu wa Israel anazidi wenu huyo...
Ipo siku utakuja kusema mavi ya Netanyahu ni mazuri kuzidi keki😂Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini.
Israel ni kichaa....
-_----++++++++
Iranian President Masoud Pezeshkian was injured in the leg during an Israeli airstrike last month on a meeting of Iran’s Supreme National Security Council, according to an Iranian report.
The attack on the lower floors of a building in western Tehran was carried out on June 16, the Fars news agency, which is affiliated with Iran’s powerful Islamic Revolutionary Guard Corps, reported Sunday.
Iran’s Parliament Speaker Mohammad Bagher Ghalibaf, Judiciary chief Gholam-Hossein Mohseni-Eje’i, and other senior officials were at the meeting with Pezeshkian, the report said.
Hajafa?Kwamba Mungu wa Israel anazidi wenu huyo...
Nyie Mungu wenu yupi?..huyo Mungu wa israel ndiye aliyepigwa gwala na yakobo(israel)?Kwamba Mungu wa Israel anazidi wenu huyo...
Sasa na wewe akili iko wapi kama na wewe unamsifia rais wa nchi nyingine badala ya kumsifia wa nchi yako.1. Wachina wanapigania kushika nafasi ya kwanza kwenye uchumi duniani baada ya kuzishinda nchi kibao kiuchumi ikiwemo Israel yenyewe.
2. Mleta mada yeye anapigania kuwa kijakazi wa Netanyahu ili na yeye awe miongoni mwa wafua chupi za Netanyahu na mkewe.
Raisi wa China aliona mbali sana kwa kauli hii pichani. Bado kuna miafrika inahitaji japo kuja.mbiwa tu na Netanyahu mdomoni ili ije iandike uzi wa kusifia kujambiwa na waziri mkuu wa wayahudi.
Shukrani sana mkuu, wewe ndiye umemaliza kila kitu kumchambua CHIZI huyu, kumbe tumuiteje!!1. Wachina wanapigania kushika nafasi ya kwanza kwenye uchumi duniani baada ya kuzishinda nchi kibao kiuchumi ikiwemo Israel yenyewe.
2. Mleta mada yeye anapigania kuwa kijakazi wa Netanyahu ili na yeye awe miongoni mwa wafua chupi za Netanyahu na mkewe.
Raisi wa China aliona mbali sana kwa kauli hii pichani. Bado kuna miafrika inahitaji japo kuja.mbiwa tu na Netanyahu mdomoni ili ije iandike uzi wa kusifia kujambiwa na waziri mkuu wa wayahudi.