Rais wa Iran alijeruhiwa kwenye mashambulizi ya ndege za Israel

Sasa na wewe akili iko wapi kama na wewe unamsifia rais wa nchi nyingine badala ya kumsifia wa nchi yako.
We kilaza mimi sikumsifia raisi yoyote hapa, hebu soma vizuri nlichoandika.
 
Nyie Mungu wenu yupi?..huyo Mungu wa israel ndiye aliyepigwa gwala na yakobo(israel)?
Siku moja WA andishi wa habari WA Uingereza waliwahi kumohoji Mike Tyson kwamba ana maoni gani kuhusu maonezi Wayahudi wanavyo waonea na kuwaua ovyo Wapalestina, unajua Tyson alijibu nini? Alisema Wayahudi ni wakatiri sana hata Yesu akirudi Duniani Wayahudi watamua kwa mara nyingine TENA!! Comments za Tyson zinachekesha sana,lakini looking back now naona Tyson alikuwa anasema kweli tupu.
 
Hii habari inatoa picha kwa nini Trump ilibidi aingilie kati amuombee msamaha gaidi mibusha ayatollah kwa netanyau maana angeuliwa kibudu ka mbwa koko . Trump akamsihi sana Netanya amuonee huruma mzee busha ayatollah na akamuomba sana netanyau asitishe vita maana Iran ilishaingiliwa kila mahali na myahudi ila mikobaaz mibusha ya kwa mpalange kutwa kupandisha majini hapa JF Iran kashinda vita.
 
Nasikia mud alikuwa shoga?
 
We pia upo hivyo hivyo ila umeona kwa mwenzio ndio kosa mpumbavu mkubwa wewe unafikiri hatuoni news zako humu wewe kuhusu wairan au wale ndugu zako? Fala wewe mlamba mavi ya waarabu
 
Kwanini wachina na sio watanzania
Unatofauti Gani na mtoa MADA anayesifia nchi anayikubali
Kama wewe unavyowakubali wachina
 
Mngeyasema haya October 7 2023 sio sasa
 
Siku moja WA andishi wa habari WA Uingereza waliwahi kumohoji Mike Tyson kwamba ana maoni gani kuhusu maonezi Wayahudi wanavyo waonea na kuwaua ovyo Wapalestina, unajua Tyson alijibu nini? Alisema Wayahudi ni wakatiri sana
Tutajie kabila ambalo likichokozwa linatulia tu au Wakurya? Mnaficha uchafu wenu wa kiarabu mlitesa sana mababu zetu na kuwauza ulaya na bara america... Kiufupi Africa haitakiwi kuwa na waarabu makatiri hawastahili kuishi hili bara kwani ni Makatiri, inabidi tuanze kufufua makaburi tujue Wakatiri ni kina nani Duniani.. Maana Wayahudi wana bahati mbaya sana Hadi Mungu aliingilia kati kuwaokoa na hali ya sasa ya Dunia Mungu wao atatumia wenye nguvu duniani kuwanyamazisha Wenye chuki Trump ni mmoja wa Mtu anayetumiwa na Mungu, nawaambieni amin amini amini mtapotezwa nyote nyie. Mnamsingizia hadi Tyson mvuta bangi mwenzio eti kasema Wayahudi watamuua Yesu Tena? kwani waliomuua Yesu walikuwa ni Roman Regime kwani walikuwa na power kuzuia kusulubiwa kwa asiye na hatia hata iweje.
hata Yesu akirudi Duniani Wayahudi watamua kwa mara nyingine TENA!! Comments za Tyson zinachekesha sana,lakini looking back now naona Tyson alikuwa anasema kweli tupu.
Ukishavuta Bangi zako unamkumbuka mvuta bangi mwenzio Tyson unaanza kuongea huku umeshusha bukta, Kama una chuki na wayahudi weka chuki za kweli na sio za kipumbavu jf ni for Great thinker not foolish people peleka FB.

Israel ipo sana tu kwa ajili yenu, we are enjoy benefit zao kila siku, Soko la Kariakoo,University of Dar Es Salaam, Muhimbili Medical Centre na Jeshi la Kujenga Taifa... Mwarabu kakupelekea nduguzo Marekani utumwani akiwepo Mvuta bangi mwenzio Tyson babu zake waliuzwa na Mwarabu. alafu si alibadilisha Dini akawa Muislam unategemea nin hapo Anaitwa Abdulaziz hahaha



Muislam umuulize Maoni kuhusu Israel unategemea nini? Mtu yeyote mwenye kujua Dini uislam au Ukristo anajua Yesu akija lazima ajue Powerful jesus atakayokuja nayo sio mchezo mchezo.. Wajinga wote watafyekwa kwa Panga Imeandikwa kabisa Next ni Hukumu tu so Bangi za Tyson kuwa atauwawa ni ulevi wake na wako uliyeleta ujinga huu


View: https://www.youtube.com/shorts/JIh9WbReg_E?feature=share
 
We pia upo hivyo hivyo ila umeona kwa mwenzio ndio kosa mpumbavu mkubwa wewe unafikiri hatuoni news zako humu wewe kuhusu wairan au wale ndugu zako? Fala wewe mlamba mavi ya waarabu
Naona umeamua kutumia ID yako nyingine. Kama unampenda sana Netanyahu si uende tu ukawe mchepuko wake!
 
Kwanini wachina na sio watanzania
Unatofauti Gani na mtoa MADA anayesifia nchi anayikubali
Kama wewe unavyowakubali wachina
Umeelewa lkn nlichoandika au umekurupuka ku quote kitu asichoelewa?
 
Mngeyasema haya October 7 2023 sio sasa
Hayo mambo ya 7 October 2023 walitakiwa wayazungumzie wahusika wenyewe, sio wewe ambae uliambiwa na hao unaowasifia hapa kwamba kabla ya kuwa binadam wa kawaida ulianza kwanza kuwa sokwe.

Tafakari mwafrika!!
 
Hayo mambo ya 7 October 2023 walitakiwa wayazungumzie wahusika wenyewe, sio wewe ambae uliambiwa na hao unaowasifia hapa kwamba kabla ya kuwa binadam wa kawaida ulianza kwanza kuwa sokwe.

Tafakari mwafrika!!
Munafik wewe mbona sasa na wewe unaleta mambo ya uchina kwanini wachina wasilete wenyewe hizo habari humu JF?
Au ndio una ile tija ya Umwamba useme wewe tu na wengine wasiseme mbulukenge wewe, Muslim always wana ile kitu inaitwa Dhimmi Yaani kama usipokuwa Muslim unatakiwa utawaliwe kwa manyanyaso hadi kifo chako.
 
Wiki chache zijazo Israel ataivamia tena Iran kwa anga, kitakachomkuta itabaki masimulizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…