Tetesi: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo

Weka Ushahidi wa Aya ya Quran muham mad aka allah hukumu aliyotoa Kwa wanao tumia vutu.🎤
We kicha kweli Qur'an na hadith zote zinakataza Homesexual

The Qur'an (4:16) demands unspecified punishment for men guilty of lewdness together unless they repent.


Narrated by Abdullah ibn Abbas: The Prophet (peace be upon him) said: If you find anyone doing as Lot's people did, kill the one who does it, and the one to whom it is done.

— Sunan Abu Dawood, 38:4447

Kuna lingine
 
Haha hivi we unaelewa kizungu hapo ni Mungu ndio anasema sio Mtume Muhammad kweli wewe ni kichaa huna jipya

Hebu niambie Isaeh 40 verse 28 nataka jibu nani Mungu wako Yesu? Au Yule asye kufa? Mbona unakwepa 😄
 
لا ينبغي أن يوعد الله بحق سوى يسوع! وبولس رسوله

la yanbaghi 'an yueid allah bihaqi siwaa yasuea! wabulus rasulah

Hakuna Mungu Apaswaye Kuabudiwa kwa Haqi ila Yesu! na Paulo Mtume wake
Takbir✊🏼Yasue Akbar👊🏼
 
Kama Hamas anatandikwa na mashoga basi hao Hamas ni midabwada wahed.....
Nani kakuambia Hamasi anatandikwa nipe dalili zako wapi Israel kashinda? Kila kukicha anarusha nini Gaza na huko Israel kila kukicha Missiles za Hamasi zinapiga sa vipi useme kashindwa. We umesahau walio lia wameishiwa silaha nani Hamasi au Israel 😄
 
Qur'an ya kanisani hio au 😄

Hebu tutafsirie Isaiah 40.28 nani ni Mungu au hizo bibilia hamzisomi
 
Haha hivi we unaelewa kizungu hapo ni Mungu ndio anasema sio Mtume Muhammad kweli wewe ni kichaa huna jipya

Hebu niambie Isaeh 40 verse 28 nataka jibu nani Mungu wako Yesu? Au Yule asye kufa? Mbona unakwepa 😄
Adui wa Jibril kwako ndie Mungu??
👇👇
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Hii Hadithi Ina mlingano na hiyo ayat
👇👇
Umdah al-Ahkam: Juz. 3, Hadithi Na. 460] “Imepokewa na Anas Ibn Malik “Nimesikia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: allah ni Shetani katika sura ya Malaika aliyeniteremshia Aya na kitabu chake Quran na mimi. 'mimi nabii wake

رواه أنس ابن مالك “سمعت من رسول الله صلى الله عليه وسلم أنه” كان الله شيطان شكل ملاك كشف لي الآيات وكتابه القرآن وأنا نبي.
 
Hahaha. Nani ni adui wa Gabriel si hao Majewish walitaka wao ndio utume ubaki kwao 😄 Mnarukia vitu hamjui Surah inaongelea nini.

Who is the enemy of Gabriel?
The Jews are the Enemies of Gabriel. (Whoever is an enemy to Jibril (Gabriel) (let him die in his fury), for indeed he has brought it (this Qur'an) down to your heart).


Nendeni mkafute hizo bibilia zenu ni uharo mtupu tazama contradiction.
Why is there a contradiction in Isaiah 40:28? It was said "God never gets tired" whereas in Exodus 31:17, it was said, "God is tired and rests"?
 
acha ku-edit qauli ya Haqi ya muham mad aka allah
👇👇
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Hii Hadithi Ina mlingano na hiyo ayat
👇👇
Umdah al-Ahkam: Juz. 3, Hadithi Na. 460] “Imepokewa na Anas Ibn Malik “Nimesikia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: allah ni Shetani katika sura ya Malaika aliyeniteremshia Aya na kitabu chake Quran na mimi. 'mimi nabii wake

رواه أنس ابن مالك “سمعت من رسول الله صلى الله عليه وسلم أنه” كان الله شيطان شكل ملاك كشف لي الآيات وكتابه القرآن وأنا نبي.

Wapi pamandikwa Jews Hapo!
Halafu nimeshang'amua ww ni muislamu dirisha ndogo🙄😜
 
Swali kama sio Jewish ni nani adui wa Gabriel hebu kwanza twende step by step tutafika tu. Haya we tueleze Qur'an ilisema nani adui yake, na uhakika 💯 huna jibu.

Pia mimi nakuomba ukasome vizuri bibilia zenu Yesu alilala au uwongo? Na hio hio bibilia inasema Mungu huwa halali au uwongo?

Matthew 8 23 Jesus alilala kwenye boti au uwongo

Matthew 8:23-27 KJV
And when he was entered into a ship, his disciples followed him. And, behold, there arose a great tempest in the sea, insomuch that the ship was covered with the waves: but he was asleep. And his disciples came to him, and awoke him, saying, Lord, save us: we perish. And he saith unto them, Why are ye fearful, O ye of little faith? Then he arose, and rebuked the winds and the sea; and there was a great calm. But the men marvelled, saying, What manner of man is this, that even the winds and the sea obey him!


KJV: King James Version
Psalm 1.21 verse 4 Mungu huwa halilai vipi hapo 😄 Msitake tuxidishe kuziabisha bibilia zenu.

Psalms 121:4-
Psalms 121:4-5 TPT

He will never slumber nor sleep; he is the Guardian-God for his people, Israel. YAHWEH himself will watch over you; he's always at your side to shelter you safely in his presence.


Poleni wajukuu wa mkosaji nyumba aliye kosa nyumna na aliye kosa pepo 😄 na nyie sijui mnamajumba labda ya madeni 😄 lakini pepo mmekosa sababu nyie humfati mafunzo ya Yesu, mnafata mafunzo ya Shetani lile Paulo aliliona juu ya mti, pale kwenye njia panda ya kutoka Damascus to Jerusalem
 
We hivi hujui wako Wakristo wanaamini Mungu ni mmoja tu, na Yesu ni Mtume wa Mungu, kama vile Waislam hao ndio Qur'an inawapoint. Sio nyie wamabutcher ya nguruwe kule njombe.
 
Inatosha, wewe ushaingiza mambo yenu, ngoja nikuache nisiharibu mada!.
 
Hana pa kujificha drone zinakuja
 
Ni ushauri tu maana vidume vya Kiislam vinazidi Kuuawa na Hawa Mayahudi

Ni hilo tu!
 
Sina hakika na ukweli wa hi habari; may be ni kweli or uongo sijui. Najiuliza swali jepesi; habari nyeti kama hi inawezaje KUVUJA hivi hadi sisi wa kwa Mtogole tuijue? Anyway labda ndio wale wale Jews waliopo Mossaid na wanaonekana ni Iranians. Well, kama habari hi ni ya kweli then zile habari kwamba ndege za Israel hazikupiga Iran then ni uongo, Israel iliipiga Iran vilivyo. Tuendelee kusubiri. Binafsi naomba hi habari iwe ya kweli na Ayatollah asikilize viongozi; tuna shida nyingi huku, mafuta nayo yakipanda bei tutazidisha ugumu wa mambo. Imagine chawa wale wana msifiaga mama kwa bei za mafuta kupungua, yakipanda tena watasemaje? Mungu saidia Ayatollah akubaliane na wakuu wa vyombo vya dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…