Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
miongoni mwa marais Imara sana, wenye nguvu, ushawishi na maono ya mbali sana, na wasio tikiswa kisiasa nchini Kenya kwa wakati huu, na anae enjoy mass support, technical and economic support ya makundi mbalimbali, ya kitaifa na kimataifa ni pamoja na Dr. William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto..
ni mbunifu sana, mchapakazi na mwenye bidii sana. tofauti na kazi ya urais Dr.Ruto ni mkulima, mfugaji, mfanyibiashara muwekezaji kwenye sector mbalimbali hata kabla ya kua RAIS...
katika hotuba yake kwa taifa jana,
aliwaonya wandamanani na wafadhili wao, kwa uharibifu na uporaji walioufanya katika maeneo tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na jengo la bunge, na kuonya kuwa kutendo hicho ni uhalifu lakini pia ni uhaini na wauhusika watawajibishwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria....
baada ya kupoteza lango na uelekeo, madai yao, waandamanaji ambao ndani yake wapo magaidi, majambazi, waporaji na wezi,
eti sasa nia ni kulenga, kutafuta kuharibu na kupora biashara, maduka, uwekezaji na mali za wabunge kutokana na kughadhabishwa kwao na wabunge hao kupitisha muswada wa Sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025 ambao walichukizwa nao...
hii inamaanisha waporaji, wezi na magaidi hao, wanao fadhiliwa na baadhi ya wanasiasa walioshindwa uchaguzi wa 2022, na wenye chuki binafsi na Rais Dr.Wiliam Ruto, wanalenga kupewa nguvu zaidi ya kufikia uwekezaji, biashara, mali, mashamba, mifugo na vitega uchumi vya Dr.Ruto jambo ambalo si la kiungwana hata kidogo kwenye katika siasa za kisasa....
Na huko ni kupoteza uelekeo na malengo ya madai ya msingi ya waandamanaji hao kabisa.
Zaidi sana watazidisha na kuichochea Serikali kuongeza kwenye ushuru, tozo na kodi zaidi ili kugharamia uharibifu wa miundombinu waliosababisha kwa makusudi wao wenyewe, hali itawawia ngumu zaidi vijana hao ambao hawaaminiki tena...
Dr.Ruto,
ni mzingatiaji makini mno wa political principles, laws of power and ethics, na kwahivyo kilichotokea mpaka sasa, amepata credits kubwa sana kitaifa na kimataifa, kwa namna alivyowapa fursa waandamanaji kuinjoy haki yao ya msingi kwa amani na uhuru uliopitiliza,
na kusababisha madhara na athari kubwa sana za kiuchumi, kijamii na kisiasa...
Pamoja na hayo, Rais huyo wa Jamuhuri ya Kenya yupo imara sana na hata tetereka wala kupoteza uelekeo wa kuwaletea wakenya maendeleo ya kijamii kisiasa na kiuchumi.
wakenya wote wenye mapenzi mema na nchi yao, yafaa wamuunge mkono kiongozi wao huyu, katika azma yake njema hiyo aliyonayo vinginevyo watapata tabu sana zaidi ya kipindi cha uongozi wa awamu ya pili, kwasababu huyu ni chuma cha moto zaidi kisiasa 🐒