Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
Raila ni virus,Moi kilikuwa chuma hata Raila aliwekwa ndani.Ruto akimuweka ndani Raila gata masaa mawili anatoka madarakani.
Alipoungana na Uhuru Kenyata watu wa mount kenya wakamkataa mpaka mwanao Uhuru Kenyatta,
Sasa hivi Ruto baada ya kuonekana ana dalili zote za kuungana na Raila imetokea shida kubwa zaidi ya kukataliwa si tu na mount kenya bali kila kona ya Kenya 🐒