Raila ni virus,
Alipoungana na Uhuru Kenyata watu wa mount kenya wakamkataa mpaka mwanao Uhuru Kenyatta,
Sasa hivi Ruto baada ya kuonekana ana dalili zote za kuungana na Raila imetokea shida kubwa zaidi ya kukataliwa si tu na mount kenya bali kila kona ya Kenya 🐒
hii ni Neema na Baraka ya kipekee ya Mungu mtu anapatiwa 🐒
sasa ukiwa mvivu yaan huna hoja wala wazo mbadala unaendeshwa na mihemko kuporomosha matusi kumejaa kwenye fikra na moyo wako, huwezi elewa, kutambua wala kujifunza chochote juu ya masuala haya....
na hali hiyo huchochewa zaidi na kukaa nyumbani kwa wazazi mda mrefu na umri umeshatupa mkono.. ni kudeka tu aisee 🤣
bado kwa wakati muafaka ntaeleza za Uganda, Rwanda, DRC, Burundi, South Sudan, Somali na Ethiopia kisha tubainishe ikiwa kuna utofauti. kwasasa ni mapema mno 🐒