Rais wa klabu ya Yanga SC ameshawakana huku

Na pia kagusia uwekezaji anadhani al ahly ni sawa na timu zetu ? Hapo kajibu kikubwa na kisoka Mamelody ni mabingwa Wa AFL..Aly Ahly ni mabingwa watetezi wa CAFCL lazma uwaheshimu wakubwa na wamewekeza zaidi

Mbumbumbu kaja mbio kuanzisha uzi
Mbona hiyo heshima hamuitoi kwa Simba?
 
unadhani mind game hutengenezwa vipi?
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
Kwahiyo unawaaminisha Wana Yanga wenzio kuwa Eng. Hersi anajua sana mind games kuliko Alhaly? Ahahahahaha!!!
 
Shikamoo kwa jibu hili
 
Kwahiyo unawaaminisha Wana Yanga wenzio kuwa Eng. Hersi anajua sana mind games kuliko Alhaly? Ahahahahaha!!!
Mbumbumbu mwingine huyu hapa. Mind games ni sehemu ya soka ulimwenguni, rudi shule bado unahitaji kujifunza mengi.
 
Shida ipo wapi,wasifie,wavimbe kichwa,huku ukiwa na mipango yako/yenu baada ya malengo kutimia,unawakurupusha kutoka usingizini 🤓
 
nahisi hujajamba mwezi mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…