Rais wa klabu ya Yanga SC ameshawakana huku

Na pia kagusia uwekezaji anadhani al ahly ni sawa na timu zetu ? Hapo kajibu kikubwa na kisoka Mamelody ni mabingwa Wa AFL..Aly Ahly ni mabingwa watetezi wa CAFCL lazma uwaheshimu wakubwa na wamewekeza zaidi

Mbumbumbu kaja mbio kuanzisha uzi
Mbona hiyo heshima hamuitoi kwa Simba?
 
#MICHEZO Rais wa klabu ya Yanga SC akiwa katika mahojiano na Televisheni ya Al Ahly amesema "binafsi naamini fainali ya CAF Champions League msimu huu ni baina ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Sundowns”, Al Ahly na Mamelodi ni timu zenye mikakati na ubora wa hali ya juu kwasasa Barani Afrika.

Hersi aliendelea kusisitiza, “ikumbukwe Al Ahly ndio timu yenye uwekezaji mkubwa sana tena inapofika hatua za mtoano katika michuano hii, huku Mamelodi wakiwa ni mabingwa AFL na sidhani itakuwa rahisi kwao kuishia robo au nusu fainali.

Maneno ya Rais wa Yanga, Eng. Hersi Ally Said kupitia mahojiano na Televisheni ya Al Ahly. #EastAfricaTV
unadhani mind game hutengenezwa vipi?
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
Kwahiyo unawaaminisha Wana Yanga wenzio kuwa Eng. Hersi anajua sana mind games kuliko Alhaly? Ahahahahaha!!!
 
Shikamoo kwa jibu hili
 
Kwahiyo unawaaminisha Wana Yanga wenzio kuwa Eng. Hersi anajua sana mind games kuliko Alhaly? Ahahahahaha!!!
Mbumbumbu mwingine huyu hapa. Mind games ni sehemu ya soka ulimwenguni, rudi shule bado unahitaji kujifunza mengi.
 
Utopolo mbona mapovu??? Kwahyo mnajilinganisha na Alhly na Mamelody?
20240229_145450.jpg
 
#MICHEZO Rais wa klabu ya Yanga SC akiwa katika mahojiano na Televisheni ya Al Ahly amesema "binafsi naamini fainali ya CAF Champions League msimu huu ni baina ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Sundowns”, Al Ahly na Mamelodi ni timu zenye mikakati na ubora wa hali ya juu kwasasa Barani Afrika.

Hersi aliendelea kusisitiza, “ikumbukwe Al Ahly ndio timu yenye uwekezaji mkubwa sana tena inapofika hatua za mtoano katika michuano hii, huku Mamelodi wakiwa ni mabingwa AFL na sidhani itakuwa rahisi kwao kuishia robo au nusu fainali.

Maneno ya Rais wa Yanga, Eng. Hersi Ally Said kupitia mahojiano na Televisheni ya Al Ahly. #EastAfricaTV
Shida ipo wapi,wasifie,wavimbe kichwa,huku ukiwa na mipango yako/yenu baada ya malengo kutimia,unawakurupusha kutoka usingizini 🤓
 
#MICHEZO Rais wa klabu ya Yanga SC akiwa katika mahojiano na Televisheni ya Al Ahly amesema "binafsi naamini fainali ya CAF Champions League msimu huu ni baina ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Sundowns”, Al Ahly na Mamelodi ni timu zenye mikakati na ubora wa hali ya juu kwasasa Barani Afrika.

Hersi aliendelea kusisitiza, “ikumbukwe Al Ahly ndio timu yenye uwekezaji mkubwa sana tena inapofika hatua za mtoano katika michuano hii, huku Mamelodi wakiwa ni mabingwa AFL na sidhani itakuwa rahisi kwao kuishia robo au nusu fainali.

Maneno ya Rais wa Yanga, Eng. Hersi Ally Said kupitia mahojiano na Televisheni ya Al Ahly. #EastAfricaTV
nahisi hujajamba mwezi mzima
 
Back
Top Bottom