Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Rais wa North Korea ametutoka duniani. Huu msiba mzito sana duniani.
Mzito kwa nani Sasa.Duniani haiwezi simama sababu ya kufa kwa mbwa.
Hii corona itaondoka na madikteta mengi,
Nasikia yule mrefu naye chali
 
Wakiambiwa Mungu Yehova ndio bingwa wa kipekee wanakuletea wasiojulikana. Sasa sisi tunasubiri tu yowe.

Huyu bwana ni bure sana alimuua mjomba wake akifikiri yeye angeweza kuishi milele.

No human being is immortal and Kim is no exception. Kim was utterly bogus.
 
Sema tetesi hakuna uthibitisho hata CNN wameshindwa kujua yuko wapi
Imegichwa but confirm kinachofanyika ni kuaandaa mrithi, possible dada yake,but hawezi kuwa dictator wanawake makatili ni wachache
 
Baada ya kutest makombora jamaa akatembelea ufukweni kwake( beach yake) basi tangu alipotoka huku sasa wiki mbili jamaa aonekani in public. Kuna madaktari wakutoka China walienda huko.
So kukimbilia nyumbani au kwako sio suluhu!
 
Taarifa Ni kuwa alikula sumu,,anaendelea vizuri,,,Kuna cell ya wahusika wako nguvuni,,binafsi sijaconfirm kifo Cha huyu mtu,dalili zinaonyesha bado Yuko hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…