Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

20200426_142507.jpg
 
Kama kafa, it's not a big deal, kawauwa wengi sana na yeye. Huyu jamaa alikuwa bogus sana, sasa alipotegeshwa kwenda kwenye mkutano Singapore yeye kwa ujinga wake alifikiri nchi kubwa kama Marekani kweli walikuwa wanataka wafanye naye deal....!!!

Marekani sio nchi ya kuchezea akifika huko awaulize akina Chavez, Saddam, Gaddafi, Norriega, Gen Suleiman nk watamuadisia.
And you think he was stupid....!!?
 
Kuna mahali nimeona wanasema treni yake binafsi imeonekana kwenye makazi yake ikiwa katika mkao wa kuondoka, hivyo inasemekana anaweza kuwa katika hayo makazi yake, ingawa ripoti zinasema kuwa mkao huo wa treni yake haumaanishi utimamu wa afya yake.
 
Pale mwana usalama from kwa mtogole anapoweza kukosoa ulinzi wa rais wa nchi nyingine tena yenye ma-nuclear?

Daah kweli bongo kila mtu ni mwana usalama.
 
Kuna mahali nimeona wanasema treni yake binafsi imeonekana kwenye makazi yake ikiwa katika mkao wa kuondoka, hivyo inasemekana anaweza kuwa katika hayo makazi yake, ingawa ripoti zinasema kuwa mkao huo wa treni yake haumaanishi utimamu wa afya yake.
Two things treni yake private imeonekana kupaki hapo toka tar 21 to date huku ndege yake private anayoitumia mara kwa mara ikiwa imepaki Pyongyang
 
Habari hii inatofauti gani na yule rais wa jirani ambaye azushiwa kutoweka. Mod hutoa mabandiko yanayomhusu.
 
Pole yake sana... Endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...

Huyo akifa Marekani lazima wapime DNA ili kujihakikishia ni yeye kweli...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom