Nipo chuo Kikuu namaliza mwaka huu , Mimi sio mtoto wa sekondari .Chuo tunaishi kama watu wazima wengine wameoa na mimi sitaki nimalize hivihivi nataka nitoke na Toto la kiarabu nioe maana Mimi ni Handsome, kiongozi halafu nina influence kubwa yaani bonge la famous..