Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake na u-handsome ni Pete na kidole, pesa je?Amekufa na uhandsome wake, ngozi nyororo haina mikunjo..!
Acha utani, unasema kweli mkuu.R.i.P Classmate.....😥
Kwakweli nimeumia sana...😪
We binti una tabia mbaya.Kwani ni uongo sio handsome?
Kama yakoWe binti una tabia mbaya.
Kwa nini unaanza kuwapenda wazee wakati vijana tupo, tena tuko vizuri, umeshindwa nini kuniambia hata mimi.Kama yako
Fanya unywe chaiKwa nini unaanza kuwapenda wazee wakati vijana tupo, tena tuko vizuri, umeshindwa nini kuniambia hata mimi.
Kumuenzi, barabara ya Mwenge Tazara ifungwe leo.
Naenda kunywa supu, nilikunywa pombe jana.Fanya unywe chai
Unataka wasiende mkuu?basi nenda wewe kawawakilishe.Kama naona sasa Marais wapenda safari wanavyoanza kujiandaa kwenda msibani, kila MTU na dege lake
HEBU soma kwa utulivu kama kuna sehemu nimesema wasiende.Unataka wasiende mkuu?basi nenda wewe kawawakilishe.
98% mkuuHivi jamaa unaendeleaje lakini ...
Ila Wewe Jamaa, PGO WatakutafutaUkiwa huna DHAMBI, Unakufa unatabasamu! Ngoja nitafute picha ya Yule Askari aliyefariki Jana tulinganishe
Ni ujinga wa Hali ya juu kutoa majina ya watu ambao sio watanzania kwenye mitaa ya ardhi ya tanzaniaKumbe ile barabara ya Sam Nujoma Dar ni jina la huyu mwamba