TANZIA Rais wa kwanza wa Namibia Sam Nujoma amefariki akiwa na umri wa miaka 95
Kuna mtu alisema barabara inayoanzia Ubungo mataa hadi Mwenge inaitwa Sam Nujoma ukazuka ubishi mkali wa kufa mtu, wakamuuliza wewe unayebisha tupe jina la barabara hiyo akasema inaitwa Sir Mwinyi Juma 🤣🤣
 
Kuna mtu alisema barabara inayoanzia Ubungo mataa hadi Mwenge inaitwa Sam Nujoma ukazuka ubishi mkali wa kufa mtu, wakamuuliza wewe unayebisha tupe jina la barabara hiyo akasema inaitwa Sir Mwinyi Juma 🤣🤣
Sasa hii uliyotupa ndiyo chai ya "mdalasini" iliyomiksiwa na mawese.Na baadaye tutashushia juusi ya bamia.
 
Ooh!! Kumbe hiyo Barabara ya Ubungo-Mwenge ndo ilipewa Jina lake!

Hv alikuja lini Tanzania?
 
Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95.

Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta Museveni aachie Vijana View attachment 3229991
Kumbe huyu mzee alikuwa hai. Alikuwaga amejichimbia wapi mana alikuwa hata hasikiki kwenye mapatanisho mbalimbali Afrika
 
Sam Nujoma na Mandela ni wapigania uhuru waliokuwa na nia ya kuzikomboa nchi na wananchi wao na walipofanikiwa walishika madaraka katika namna ya kuonesha namna gani uongozi wa watu unavyotakiwa uwe,walikaa madarakani kwa kipindi kifupi na kuwaachia wengine.
Viongozi hawa walikuwa tofauti sana na wenzao wengi ambao waliachia madaraka baada ya kupinduliwa ama kufariki dunia(wangekuwa hai huenda wangekuwa ving'ang'anizi) na wengine kweli walistaafu lakini walifanya hivyo baada ya kuona wakiendelea zaidi wanaweza kuumbuka kwa kupinduliwa au kuanguka kwenye uchaguzi.
 
Back
Top Bottom