Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli. Mama Samia wazazi wake wana asili ya Oman, ndiyo maana wajomba zake ni DP WorldMama Samia Suluhu Hassa ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.
Kwamba ni uwongo Bandari zetu hajapewa DP World wakati zile za Zanzibar zikiachwa Kwa Wazanzibari?Kuwa Mzanzibari ni kweli, hizo za kuuza rsilmali ni ujinga wa tundu lussu tu.
Taja chuo kimoja na wahitimu wake miaka hiyo tuone mchango wao kwa maendeleo ya nchi yao au dunia.Wakati Mwinyi anakwenda Zanzibar kufata elimu, huko palikuwa bila bila.++Zanzibar ilikuwa inaongoza kwa elimu Afrika chini ya sahara.
Jaribuni muone enyi wakojani na uvivu wenu huoMama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Mimi naunga mkono hoja yako kwamba mh. Rais Samia ndo Rais wa kwanza mzanzibari. Na KIUKWELI kumdhulimu haki yake ya Urais kutaleta laana kubwa katika Taifa. Nakubali kazi zake lakini Kuna baadhi ya watumishi wa chini wanamwangusha.Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.
Mama Samia Suluhu Hassa ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.
Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi aliyopitia aliifanya kwa uadilifu, uaminifu na welesi mkubwa na kuwa anapanda tu vyeo, mpaka akafikia kuwa Makamo wa Rais na ahatimae sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.
Naam, hakuna amabae alikuwepo wakati huo na hakumuona umahiri wake. Wengi wakawa wanajiuliza, nani huyu mwanamke?
Leo hakuna asiyemjuwa Tanzania hii na duniani kuwa ni Rais wakwanza Mwanamke Mzanzibari anaeiongoza Tanzania kwa umahiri mkubwa sana.
R zake nne anaziishi na hatetereki.
Mwenyezi Mungu amzidishie hekima na weledi atuongoze daima, akiwepo kwenye Uris na atapomaliza muda wake aendelee kutuongoza kwa hekima zake, kama afanyavyo Kikwete hivi sasa.
Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Swali lako zuri sana, hata mimi najiuliza, kwanini tunaing'ang'ania Zanzibar?Abadilishe sasa ili mzanzibar abaki kwao na Tanganyika itawaliwe na mtanganyika. Hiki kikombe kingetuepuka.
Zanzibar kuna Mali gani au mnajichekesha tu š¤£
Ukishaona maelezo yanakua mengi ujue kuna kitu hakipo sawaMzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.
Mama Samia Suluhu Hassa ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.
Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi aliyopitia aliifanya kwa uadilifu, uaminifu na welesi mkubwa na kuwa anapanda tu vyeo, mpaka akafikia kuwa Makamo wa Rais na ahatimae sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.
Naam, hakuna amabae alikuwepo wakati huo na hakumuona umahiri wake. Wengi wakawa wanajiuliza, nani huyu mwanamke?
Leo hakuna asiyemjuwa Tanzania hii na duniani kuwa ni Rais wakwanza Mwanamke Mzanzibari anaeiongoza Tanzania kwa umahiri mkubwa sana.
R zake nne anaziishi na hatetereki.
Mwenyezi Mungu amzidishie hekima na weledi atuongoze daima, akiwepo kwenye Uris na atapomaliza muda wake aendelee kutuongoza kwa hekima zake, kama afanyavyo Kikwete hivi sasa.
Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Hakuna mwenye asili ya Zanzibar, wote mlitoka bara na nchi jirani kama watumwaMzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.
Mama Samia Suluhu Hassa ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.
Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi aliyopitia aliifanya kwa uadilifu, uaminifu na welesi mkubwa na kuwa anapanda tu vyeo, mpaka akafikia kuwa Makamo wa Rais na ahatimae sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.
Naam, hakuna amabae alikuwepo wakati huo na hakumuona umahiri wake. Wengi wakawa wanajiuliza, nani huyu mwanamke?
Leo hakuna asiyemjuwa Tanzania hii na duniani kuwa ni Rais wakwanza Mwanamke Mzanzibari anaeiongoza Tanzania kwa umahiri mkubwa sana.
R zake nne anaziishi na hatetereki.
Mwenyezi Mungu amzidishie hekima na weledi atuongoze daima, akiwepo kwenye Uris na atapomaliza muda wake aendelee kutuongoza kwa hekima zake, kama afanyavyo Kikwete hivi sasa.
Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Nimeipenda signature yako. š šHakuna mwenye asili ya Zanzibar, wote mlitoka bara na nchi jirani kama watumwa
Asili yenu niTabora, Kigoma , ruvuma, nyanda za juu kusini na kwingineko
Tatizo la mtu akishakuwa mtumwa akili yake kuna mahali inashake kiasi kwamba anasahau alipotoka
Mama Kazaliwa Zanzibar na wazazi wake wote wamezaliwa Zanzibar, ndiyo Rais wa kwanza Mzanzibari wa asili.Hakuna mwenye asili ya Zanzibar, wote mlitoka bara na nchi jirani kama watumwa
Asili yenu niTabora, Kigoma , ruvuma, nyanda za juu kusini na kwingineko
Tatizo la mtu akishakuwa mtumwa akili yake kuna mahali inashake kiasi kwamba anasahau alipotoka
Asili ni chimbuko lako sio pahala ulipozaliwa, ndio maana utasikia kwetu kaskazini, ama kusini ama nyanda za juu na hiyo ndio asili haijalishi umezaliwa Dar ama laMama Kazaliwa Zanzibar na wazazi wake wote wamezaliwa Zanzibar, ndiyo Rais wa kwanza Mzanzibari wa asili.
Mimi sikutokea Tabora, kwetu Mkuranga na sijawahi kuishi Zanzibar, zaidi ya kwenda kutenbea tu.
Wewe una asili ya wapi?
Mama Samia ana kazi kubwa mbili, kwanza kuwaelimisha watwana kuwa Mwanamke anaweza kutawala.Mimi naunga mkono hoja yako kwamba mh. Rais Samia ndo Rais wa kwanza mzanzibari. Na KIUKWELI kumdhulimu haki yake ya Urais kutaleta laana kubwa katika Taifa. Nakubali kazi zake lakini Kuna baadhi ya watumishi wa chini wanamwangusha. Sera ya kiuchumi ya mama Samia ni nzuri sana lakini bahati mbaya viongozi wa chini wanashindwa KUTEKELEZA na kuwapa elimu wananchi waielewe vizuri. Pia mfumo dume bado upo na manyangaso na UONEVU dhidi ya wanawake na wananchi wasio na konekshen unashamiri... Mfano mpwa wangu alionewa na mkuu wa mkoa wa mwanza pindi alipokuwa DC wa Arusha mjini lakini mtu huyu Leo kapandishwa cheo na anaendelea kutumia MADARAKA yake vibaya huko Mwanza..watu kama hawa ndio watamuharibia Rais Samia...
Napenda sana uwazi katika serikali yake na amejitahid sana kwenye freedom of speech. Amejitahid kufanya maboresho katika nyanja za muhimu bila kuogopa kama elimu. Pia anatenda haki kwa Zanzibar ambayo kwa kipindi kirefu ilikuwa kama inabaniwa.. Swala la diaspora pia nimeona anashughukia na mambo mengine MENGI ikiwamo kumaliza miradi migumu ya mtangulizi wake ambayo wengi walidhani hataimaliza ref: mwlm Nyerere dam na SGR ambayo ni Bora kuliko ya Kenya. Bila kuogopa ameshughulikia swala la bandari ambalo kwa muda mrefu LILIKUWA kaa la moto.. sekta ya utalii ambayo ndo inaliletea taifa mapato ya kigeni yumo kule kwa MIGUU miwili, huku chuga tunamwita guide namba moja. Kila linapotokea jambo hujitokeza na kusema na wananchi.. ref: kikokotoo swala LILIKUWA gumu lkn ameridhia na mabadiliko yamefanyika
Wivu wa baadhi ya watanganyika wanaotamani nafasi yake utaliletea taifa laana...tangu muungano Rais pekee alietokea Zanzibar ni Samia Suluhu na aliwekwa pale na Mungu.
Naomba sana asikubali viongozi ambao ni waonevu wanajis ofisi za serikali.
Asili yako wapi, au nikuulize chimbuko lako?Asili ni chimbuko lako sio pahala ulipozaliwa, ndio maana utasikia kwetu kaskazini, ama kusini ama nyanda za juu na hiyo ndio asili haijalishi umezaliwa Dar ama la
Nawakumbusha na nawaelimisha kuwa baada yamiaka 60 ya muungano ndiyo tumepata Rais wa kwanza mwenye asili ya visiwa vya Zanzibar.Kwani mbona kama wasifu wa marehemu unasomwa?? Hilo jambo si liko wazi kabisa machoni pa wote au unatukumbushia kumbushia lengo tusisahau?
Sasa hapa anatakaje kuwa chawa wakati ana advocate Zanzibar kuwa nchi huru, ambapo ni kinyume na CCM?Unafikiri ni kwanini Mungu alikuumba binadamu lakini wewe unataka kuwa chawa
Babu yako, Naftali Kidonyo tunajua alilowea Dar kutoka Tanga.Mimi sikutokea Tabora, kwetu Mkuranga na sijawahi kuishi Zanzibar, zaidi ya kwenda kutenbea tu.