Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Zanzibar hii hii na baadaye ikawaje?Wakati Mwinyi anakwenda Zanzibar kufata elimu, huko palikuwa bila bila.++Zanzibar ilikuwa inaongoza kwa elimu Afrika chini ya sahara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar hii hii na baadaye ikawaje?Wakati Mwinyi anakwenda Zanzibar kufata elimu, huko palikuwa bila bila.++Zanzibar ilikuwa inaongoza kwa elimu Afrika chini ya sahara.
Si wakakubali kutawaliwa na Tnganyika, kikauliwa kila kitu.Zanzibar hii hii na baadaye ikawaje?
Ujinga wa Tundu Lissu...!!!??Kuwa Mzanzibari ni kweli, hizo za kuuza rsilmali ni ujinga wa tundu lussu tu.
Hana ujanja kwangu yule.Ujinga wa Tundu Lissu...!!!??
Hivi wewe FaizaFoxy na Tundu Lissu tukiwaweka pale tuanze kuwapima kwa hoja, ufahamu, uelewa na maarifa ya kijamii, kisiasa, kidiplomasia na kiuchumi ni nani atakayeonekana ni mjinga plus...?
JIBU NI: Ni wewe FaizaFoxy
Mwenzio anatoa hoja za kikatiba na za kimkataba kujustify hoja zake, watu tunasoma na kupima hatimaye tunakubali na kusema, hii ni kweli halafu wewe unamsema Rais wetu Tundu Lissu ni mjinga...!!???!
Aisee, acha kujichetua basi na kujifanya mjinga kiasi hicho wakati wewe si wa hivyo...
Hivi unajua kihalali hizo bandari na hayo maji ya bahari mnayopigia kelele Kila Leo kiasili na kihalali ni Mali ya Zanzibar?? Tafuta historia ya ukweli vizuriKwamba ni uwongo Bandari zetu hajapewa DP World wakati zile za Zanzibar zikiachwa Kwa Wazanzibari?
Zanzibar ni kisiwa cha Wa Malawi 😂Hivi unajua kihalali hizo bandari na hayo maji ya bahari mnayopigia kelele Kila Leo kiasili na kihalali ni Mali ya Zanzibar?? Tafuta historia ya ukweli vizuri
Pitia historia ya Berlin Conference pamoja na Scramble for and partition of African Continent.Hivi unajua kihalali hizo bandari na hayo maji ya bahari mnayopigia kelele Kila Leo kiasili na kihalali ni Mali ya Zanzibar?? Tafuta historia ya ukweli vizuri
Haha endeleeni kupaka mafuta ya mwamposa ndoa haivunjiki mai wetu,,,nyie tumbueni tu sahivi waume zenu tunawatafutia ila ndoa haivunjikiMzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.
Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.
Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi aliyopitia aliifanya kwa uadilifu, uaminifu na welesi mkubwa na kuwa anapanda tu vyeo, mpaka akafikia kuwa Makamo wa Rais na ahatimae sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.
Naam, hakuna amabae alikuwepo wakati huo na hakumuona umahiri wake. Wengi wakawa wanajiuliza, nani huyu mwanamke?
Leo hakuna asiyemjuwa Tanzania hii na duniani kuwa ni Rais wakwanza Mwanamke Mzanzibari anaeiongoza Tanzania kwa umahiri mkubwa sana.
R zake nne anaziishi na hatetereki.
Mwenyezi Mungu amzidishie hekima na weledi atuongoze daima, akiwepo kwenye Uris na atapomaliza muda wake aendelee kutuongoza kwa hekima zake, kama afanyavyo Kikwete hivi sasa.
Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Hana ujanja kwangu yule.
Kufoka foka na kusema uongo siyo kujuwa. Yule ni muongo tu.
Jee, unaposema Rais Samia ndiye Rais wa kwanza wa Tanzania mwenye asili ya Zanzibar, unataka kuthibitisha kwamba ndiyo maana anafukuza wakazi wa Loliondo (watu wa Bara) na kuleta Waarabu na kuwekeza bandari za Bara kwa Waarabu (kwa kisingizio cha kuongeza ufanisi) akiacha zile za Zanzibar?Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.
Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.
Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi aliyopitia aliifanya kwa uadilifu, uaminifu na welesi mkubwa na kuwa anapanda tu vyeo, mpaka akafikia kuwa Makamo wa Rais na ahatimae sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.
Naam, hakuna amabae alikuwepo wakati huo na hakumuona umahiri wake. Wengi wakawa wanajiuliza, nani huyu mwanamke?
Leo hakuna asiyemjuwa Tanzania hii na duniani kuwa ni Rais wakwanza Mwanamke Mzanzibari anaeiongoza Tanzania kwa umahiri mkubwa sana.
R zake nne anaziishi na hatetereki.
Mwenyezi Mungu amzidishie hekima na weledi atuongoze daima, akiwepo kwenye Uris na atapomaliza muda wake aendelee kutuongoza kwa hekima zake, kama afanyavyo Kikwete hivi sasa.
Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Hahahaha aone moto kutoka kwa nani?Kwamba Zanzibar ijitawale yenyewe? Ajaribu aone moto wake
Kwa hoja hii unakusudia kusema wenyeji wa asili Zanzibar ni waarabu wakaja kuchukuwa watumwa bara?Hakuna mwenye asili ya Zanzibar, wote mlitoka bara na nchi jirani kama watumwa
Asili yenu niTabora, Kigoma , ruvuma, nyanda za juu kusini na kwingineko
Tatizo la mtu akishakuwa mtumwa akili yake kuna mahali inashake kiasi kwamba anasahau alipotoka
Hakuna aliyefukuzwa Loliondo, Loliondo toka eenzi za Mwinyi wapo waliokodishwa kitalu cha kuwindia kwa kufatwa sheria zote.Jee, unaposema Rais Samia ndiye Rais wa kwanza wa Tanzania mwenye asili ya Zanzibar, unataka kuthibitisha kwamba ndiyo maana anafukuza wakazi wa Loliondo (watu wa Bara) na kuleta Waarabu na kuwekeza bandari za Bara kwa Waarabu (kwa kisingizio cha kuongeza ufanisi) akiacha zile za Zanzibar?
Picha ya baba yake&mama yake naiomba. Zawadi nono itatolewa kwa atakaye fanikisha hilo
Watu ndiyo kwanza tunataka kuirudishia Tanganyika jina lake kabla ya kubadilishwa na mjerumani.Haha endeleeni kupaka mafuta ya mwamposa ndoa haivunjiki mai wetu,,,nyie tumbueni tu sahivi waume zenu tunawatafutia ila ndoa haivunjiki