Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Hata yeye wapo wanaosema ni mtu wa Omani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana asili ya Zanzibar bali Mtwara na Oman.... period.Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.
Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.
Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi aliyopitia aliifanya kwa uadilifu, uaminifu na weledi mkubwa na kuwa anapanda tu vyeo, mpaka akafikia kuwa Makamu wa Rais na hatimaye sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa Naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.
Naam, hakuna ambae alikuwepo wakati huo na hakumuona umahiri wake. Wengi wakawa wanajiuliza, nani huyu mwanamke?
Leo hakuna asiyemjua Tanzania hii na duniani kuwa ni Rais wa kwanza Mwanamke Mzanzibari anayeiongoza Tanzania kwa umahiri mkubwa sana.
R zake nne anaziishi na hatetereki.
Mwenyezi Mungu amzidishie hekima na weledi atuongoze daima, akiwepo kwenye Uris na atapomaliza muda wake aendelee kutuongoza kwa hekima zake, kama afanyavyo Kikwete hivi sasa.
Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Sawa, ila yeye ni kilazaa!Bado tunamtaka na tunampenda sana.
Uongozi wake ni wa ubora wa hali ya juu, hana kujimwambafai.
Au ni kwepa kodi wewe?
"Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.: huyu huyu mwenye wajomba Oman?Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.
Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.
Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi aliyopitia aliifanya kwa uadilifu, uaminifu na weledi mkubwa na kuwa anapanda tu vyeo, mpaka akafikia kuwa Makamu wa Rais na hatimaye sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa Naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.
Naam, hakuna ambae alikuwepo wakati huo na hakumuona umahiri wake. Wengi wakawa wanajiuliza, nani huyu mwanamke?
Leo hakuna asiyemjua Tanzania hii na duniani kuwa ni Rais wa kwanza Mwanamke Mzanzibari anayeiongoza Tanzania kwa umahiri mkubwa sana.
R zake nne anaziishi na hatetereki.
Mwenyezi Mungu amzidishie hekima na weledi atuongoze daima, akiwepo kwenye Uris na atapomaliza muda wake aendelee kutuongoza kwa hekima zake, kama afanyavyo Kikwete hivi sasa.
Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Hakukuwa na mtu aikishi kisiwani Zanzibar. Walowezi mlifika mkatamalaki kwenye ardhi halal ya Tanzania. Hakuna Zanzibar.Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.
Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.
Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi aliyopitia aliifanya kwa uadilifu, uaminifu na weledi mkubwa na kuwa anapanda tu vyeo, mpaka akafikia kuwa Makamu wa Rais na hatimaye sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa Naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.
Naam, hakuna ambae alikuwepo wakati huo na hakumuona umahiri wake. Wengi wakawa wanajiuliza, nani huyu mwanamke?
Leo hakuna asiyemjua Tanzania hii na duniani kuwa ni Rais wa kwanza Mwanamke Mzanzibari anayeiongoza Tanzania kwa umahiri mkubwa sana.
R zake nne anaziishi na hatetereki.
Mwenyezi Mungu amzidishie hekima na weledi atuongoze daima, akiwepo kwenye Uris na atapomaliza muda wake aendelee kutuongoza kwa hekima zake, kama afanyavyo Kikwete hivi sasa.
Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Siyo kweli. Mama Samia wazazi wake wana asili ya Oman, ndiyo maana wajomba zake ni DP World
Elimu gani hiyo aliyoifuata Unguja ambayo asingeipata Tanganyika!
Uongozi huu wa kesheke Rushwa na kukopa kupita kiasi?Bado tunamtaka na tunampenda sana.
Uongozi wake ni wa ubora wa hali ya juu, hana kujimwambafai.
Au ni kwepa kodi wewe?
Acha uongo. Iwaje leo idadi kubwa ya wasiojua kusoma na kuandika ipo Zanzibar? Nyie wa madrasa na elimu dunia wapi na wapi?Wakati Mwinyi anakwenda Zanzibar kufata elimu, huko palikuwa bila bila.++Zanzibar ilikuwa inaongoza kwa elimu Afrika chini ya sahara.
Hiyo miradi si ya kwake bidada hana uwezo wa akili wa kunzisha miradi of that magnitude. Miradi yake ni ule uwanja wa Arusha wa watu elfu 30, unaona anavyofeli.SGR umepanda?
Umeme wa Steigler unautumia?
Umemaliza sekondari au unasoma shule za mama samia?
Inawezekana, yeye alikuwa mpika chai maofisini, a serial failure in school...nimemsikia Samia akisema Baba yake alikuwa Mwalimu wa skuli.
Hiyo ndio elimu yao kubwa, kujazana ujinga. Idadi kubwa ya wauza sembe ni vijana wao na uhalifu mkubwa wa kikatili na imani za kishirikina ni wao pia. Ni kwenye vitabu vila vya wana makobazi kuna mambo ya Jini Makata...alikwenda kusoma Dini.
..Zanzibar na Mombasa kipindi hicho kulikuwa na Masheikh wakubwa wakitoa elimu ya Kiislamu.
Hivi unajua kihalali hizo bandari na hayo maji ya bahari mnayopigia kelele Kila Leo kiasili na kihalali ni Mali ya Zanzibar?? Tafuta historia ya ukweli vizuri
Hii inatokana na wamiliki wa imani wanaamini kwenye bikra wakati wa ndoa jambo linalo lazimisha wamume na wake kuishi maisha ya jela kingono ingali wako huru mitaani. Ukitazama utamaduni wa kuingiliana kinyume na maumbile uko pwani Tanzania na Kenya...pia ushoga ni utamaduni wao.
..na hata huyu mshika usukani inasemekana ni msagaji.
Fact!..Pwani ya Afrika Mashariki iliwahi kuwa mali ya Sultani wa Zanzibar.
..lakini kwasababu Sultani alikuwa yuko KIBIASHARA zaidi aliamua kuuza eneo hilo kwa Wajerumani.
..Na Sultani akiendelea kupoteza mamlaka yake mpaka na yeye akaishia kutawaliwa na Waingereza.
Jamsheed alikimbilia na yupo Uingereza kwasababu hizo hizo..Kuna kipindi Waingereza walikuwa wanaamua nani awe Sultani wa Zanzibar na nani asiwe.
Naomba nikazie 1963 yaani mwaka moja kabla ya Muungano..Kuna historia ambayo watu hawaizungumzi na inahusu eneo la MOMBASA.
..Mombasa ilikuwa sehemu ya Zanzibar mpaka mwaka 1963 na ilikuwa-transfered kwa Kenya muda mfupi kabla ya uhuru wa nchi hiyo.
..Mtu mwenye akili timamu angefikiria Zanzibar kuidai Mombasa kabla ya kudai Pwani ya Tanganyika.
Duh! hoja ngumu kuitafakari. Ahsante sana. Nimekaa pale nasubiri wakujibu..Historia nyingine ambayo watu hawaijadili ni kuhusu Oman kuwa chini au sehemu ya Zanzibar. Sultani aliwahi kutawala Oman lakini kiti cha ufalme wake kikiwa Zanzibar.
..Wadadisi wanapaswa kujiuliza nini kilitokea mpaka Oman ikatoka ktk mamlaka ya Zanzibar. Zaidi, Zanzibar ina haki ya kuidai Oman?
Hata siye tafadhali.Picha ya baba yake&mama yake naiomba. Zawadi nono itatolewa kwa atakaye fanikisha hilo
Naona huielewi Tanzania inavyoendeshwa. Hakuna mwenye mradi wake.Hiyo miradi si ya kwake bidada hana uwezo wa akili wa kunzisha miradi of that magnitude. Miradi yake ni ule uwanja wa Arusha wa watu elfu 30, unaona anavyofeli.
Huyu mama, kwa upeo mfupi alisema kwenye speech yake ya kwanza:
"Tanzania sio kisiwa, twenda na wenzetu na wataliangalia swala la COVID kitaalam" ujinga mkubwa. Magufulia alikuwa sahihi, covid ni scam, utapeli mkubwa. Seigler sio mambo ya Samia. Mpaka sasa hana lolote la msingi, hii ni miradi ya Mwamba JPM.