Rais wa kwanza wa Tanzania mwenye asili ya Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan

Acha uongo. Iwaje leo idadi kubwa ya wasiojua kusoma na kuandika ipo Zanzibar? Nyie wa madrasa na elimu dunia wapi na wapi?
Utakuta hiyo idadi uisemagyo ni mapandikizi ya kizayuni mliyoyapeleka huko.

Kuna nchi iliyokuwa na wasomi wengi zaidi ya Zanzibar (per capita) katika Afrika Mashariki hii kabla ya 1964?
 
Naona huielewi Tanzania inavyoendeshwa. Hakuna mwenye mradi wake.

Nani anatekeleza kipi ndiyo kina matter.
Miaka yote hii kila kitu kiko slow na amekopa mno, deni ni trilion 90++, CAG kila mwaka ana hainisha madudu na hakuna hatua zinazo chukuliwa.

Hatufai! Magufuli chaguo lake ni Dr Hussein Mwinyi. Samia ni uhuni wa Kikwete.
 
Hizo shule za kusomea ujinga.

Unayoiita Tanzania uliipata wapi bila muungano?
Hakuna muungano, nchi ni moja. Kilicho epukika hapo ni sense of imperialism kipindi hicho wakati nchi ikiwa deep kwenye vita vya ukombozi.

Tunaungana vipi na sehemu yetu halali?
 
Hayo ni yako wewe, rushwa lini ilikwisha Tanzania?

Kukopa hakuanza yeye, sema anahakikisha tunaondokana na kukopa kwa kiwango kikubwa sana.
Kiwango alichokopa Samia ndani ya miaka mitatu kimezidi mikopo yote iliyokopwa na marais wote tangu uhuru.

She is the worse and the most poorly performaning president since independence.
 
Utakuta hiyo idadi uisemagyo ni mapandikizi ya kizayuni mliyoyapeleka huko.

Kuna nchi iliyokuwa na wasomi wengi zaidi ya Zanzibar (per capita) katika Afrika Mashariki hii kabla ya 1964?
Elimu ipi unaxungumzia, kusoma kuraan?

Leo idadi ya Wanzanzibari ni chini ya 1.5 huko nyuma mlikua kama laki moja na ushee. Idadi ipi kubwa ya wasomi unazungumzia wewe, yaani moja avae mbili?
 
Kiwango alichokopa Samia ndani ya miaka mitatu kimezidi mikopo yote iliyokopwa na marais wote tangu uhuru.

She is the worse and the most poorly performaning president since independence.
Na bajeti yake na mapato yake ya ndani ni makubwa kuliko yote za kabla yake, usisahau hilo.
 
Msome Mwanamkisi.

Unafikiri Mreno aliondolewa na nani yakabaki mangome yake tu?
Kilichobaki ni some lost souls in Makobaz faith kuandika vitabu kupotosha ukweli.

Iwaje Shule, Mahospitali yote yaliotaifishwa yalikuwa ya Wagalatia na sio za Wanakobazi? Mlikua mnasomea chini?

Hata leo, orodhesha shule za Wanakobazi Tanzania? Chache mno na zote zinafanya vibaya.
 
Hoja yako ni ipi hasa?
 
Na bajeti yake na mapato yake ya ndani ni makubwa kuliko yote za kabla yake, usisahau hilo.
Kwakua bandari zimekuwa expanded na kusafishwa, machinjio ya kisasa yalijengwa mengi, kilimo kiliboreshwa, umeme vijijini ulipelekwa kwa kasi ya ajabu, terminals za mabasi zilijengwa nyingi, sana, mahospitals ya rufaa, kanda na zahanati, miradi ya maji yote ilifanyika kwa ukubwa wa kushtua Africa.

Huyo yupo yupo tu, anakinga kazi za wengine. Alienda Ghana kupokea tuzo ya miundombinu na alikiri ni kazi ya Mwamba.
 
Mimi na Mwinyi sote ni Watanganyika, tena ni majirani, sote wa Mkuranga.

Sijawahi kuwa Mzanzibari, wala Mwinyi hajawahi kuwa Mzanzibari wa kuzaliwa.
Kama ni Hekima, Kujali utu na Uongozi Mzuri hizo sifa zipo kwa Mzee Mwinyi, nashangaa kama vile unampa huyu mama sifa anazostahili Mzee Rukhsa

Acha Unafiq ewe Muislam
 
Humjui vizuri huyo ndio raisi wa kuzaliwa Zanzibar ila mwenye makazi bara kuliko kiongozi yeyote wa Zanzibar.

Retirement home yake yenyewe ameijenga bara.

Hayo mambo ya uzanzibari ushambenga tu. Hila ‘bi-tozo’ maisha yake ni bara.
Makaz yake alianzisha bunju mabwepande akiwa makamu na watoto waliishi huko ila baada ya kua rais makaz yapo mbweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…