Rais wa kwanza wa Tanzania mwenye asili ya Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan

CCM ni ile ile, usijidanganye kuwa "mwamba" wako alifanya ambayo hajayakuta yameshawekwa pipeline.

Mama Samia ni mtendaji siyo mtu wa kujimwabafai, kimya kimya uanstukia mambo hayooo.
 
CCM ni ile ile, usijidanganye kuwa "mwamba" wako alifanya ambayo hajayakuta yameshawekwa pipeline.

Mama Samia ni mtendaji siyo mtu wa kujimwabafai, kimya kimya uanstukia mambo hayooo.
Kama sio kujimwambafai angekua na chawa kama nyie
 
Kama ni Hekima, Kujali utu na Uongozi Mzuri hizo sifa zipo kwa Mzee Mwinyi, nashangaa kama vile unampa huyu mama sifa anazostahili Mzee Rukhsa

Acha Unafiq ewe Muislam
Mzee Rukhsa hakuwa Mzqnzibari wa asili,hujaisoma post namba 1?

Mzee Rukhsa wazee wake walielewa kuwa elimu, ustaarabu na ungwana Wazanzibari ndiyo utamfaa mwanae, akampelka kufundishwa hayo Zabnzibar.

Nini usichokielewa hapo?
 
Ana historia ya kufeli mashuleni toka secondary. Elimu yake ni ya kuunga unga kama wakina Nape na January Makamba.
Shule za kusomea ujinga muungwana lazima "afeli", leo unamuona yuko wapi? Waungwana na wasomi duniani wanamuelewa.

Wewe sikushangai, ni wa shule zile zile maarufu kusomesha ujinga.
 
Bajeti imeshuka mwaka huu wewe bidada! Usisome toka kulia kwenda kushoto. Nyooka na some vyema.

Bajeti iko chini na mikopo imetamalaki.
Siyo kweli, mkopo wa Tanzania kwa sasa ni wa kiwango kidogo kulinganisha na mapato yetu kuliko wakati wowote. Na hatukopi pesa za kulipia watu mishahara, ni za maendeleo tu.

Unaelewa kuwa Wazanzibari wameweka rekodi ya kuwa na Marais wawili wa Tanzania kwa wakati mmoja?
 
Hehe wazanzibari, huku baba unamkana.....nyie choteni tu sahv ila zitawatokea puani
 
Hehe wazanzibari, huku baba unamkana.....nyie choteni tu sahv ila zitawatokea puani
Unafahamu kuwa kuna Marais wawili wa kuzaliwa Zanzibar wanaoiongoza Tanzania kwa sasa?
 
Watwana hata uwakirimu vipi bado wao ni watwana tu.
 
Ndio maana Watanganyika wanampiga fitina,majungu kisa wivu baada ya kuwafunika Kwa kazi wale waliotangulia na kujiona miungu watu 😁😁😁👇👇

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1810658426428535108?t=VZiL9mZdlRl62JkcKj-qnA&s=19
View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1810585182644195362?t=KZADTSxMWLgyDnlrctYFCQ&s=19
 
Unafahamu kuwa kuna Marais wawili wa kuzaliwa Zanzibar wanaoiongoza Tanzania kwa sasa?
Kuzaliwa zanzibar ni mzanzibari ? Ukipenda boga penda na ua lake,,,hapo ni mizimu ya bara tu kwenda mbele
 
Hiyo ndio elimu yao kubwa, kujazana ujinga. Idadi kubwa ya wauza sembe ni vijana wao na uhalifu mkubwa wa kikatili na imani za kishirikina ni wao pia. Ni kwenye vitabu vila vya wana makobazi kuna mambo ya Jini Makata.
Ficha ujinga wako.
 
Kuzaliwa zanzibar ni mzanzibari ? Ukipenda boga penda na ua lake,,,hapo ni mizimu ya bara tu kwenda mbele
Naam, kama Marekani tu, ukizaliwa Marekani ni Mmarekani.

Hujamuona Obama?

kwani wewe uliupataje Utanzania wako?
 
Hii ID yako ni wewe raisi nilishawai kukuandika hapa ukafutwa. Nacho kupenda naomba na mimi nipate urefu wa kamba yangu kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…