Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
sasa huyo Rais wa nchi ambayo haina hata sungu sungu wenye ueledi hata asingekuja tungekosa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa Hugo rais wa nchi ambayo haina hata sungu sungu wenye ueledi hata asingekuja tungekosa nini
Huyu Rais wa Malawi alitokea Upinzani na lazima aligundua mbinu chafu za mwenyeji wake za kutumia ujio wake kwenye kampeni za Uchaguzi ili abaki madarakani kuendeleza ubabe wake wa kuwabana Wapinzani.Habari zinasema rais wa Malawi amekatiza ziara yake hapa nchini baada ya mazungumzo na Rais Magufuli na wafanya biashara wa Malawi.
Rais Chakwera alifika Tanzania Jumatano kwa ziara ya siku tatu ya kikazi, alitarajiwa kuondoka Ijumaa ila ameondoka alhamisi kutokana na dharura ya mambo ambayo yametokea nchini kwake...
Yule jamaa ni Mpinzani alivyokuja akakuta mwenyeji anamtumia kama chambo kujipigia campaign akaona maujinga haya, akasepaYaani migogoro ya wanawake nchini ndio arudi faster?? Tanzania kuna jambo lenu 😀😀😀
Ndio maana nikauliza hiyo PHD ni ya kiingereza,maana hapo umepima elimu yake kwa kuangalia uwezo wake wa kuongea lugha ya kiingereza.Hapana alitumia English kudefend thesis yake hata hivyo alikuwa ni Mwalimu kwahiyo hatutegemei kiingereza kibovu kama kile kutoka kwake labda hiyo Phd iwe feki
Mpinzani dhidi ya nani?Yule jamaa ni Mpinzani alivyokuja akakuta mwenyeji anamtumia kama chambo kujipigia campaign akaona maujinga haya, akasepa
Chakwera anatokana na chama cha MCP ambacho ndicho kilipigania uhuru wa Malawi. Hicho chama kiliondoshwa na Muluzi uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi na sasa kimerudi madarakani.Janja ya Chakwera hataki kutumika....unajua Magufuli maji ya shingo sasa hivi anachomekea kila kitu kuokoa jahazi....Chakwera ni mpinzani ni mwanasiasa wa muda mrefu anajua hila za ccm ktk kukwamisha demokrasia. Hata hivyo alikuja tu kwa maslahi ya wana malawi tu.
Ni nchi gani duniani Rais wa nchi wakati wa kampeni za uchaguzi anaacha urais kwa muda?Katiba yetu ni moja kati ya katiba za ajabu kabisa duniani kipindi cha kampeni mgombea uraisi hapaswi kuwa na cheo cha uraisi kufanya hivyo ni kujifanyia kampeni.
Asante kotoko.Mpinzani dhidi ya nani?
Unaona jinsi wenzetu walivyo active kwenye demokrasia? Sisi hapa watu kibao wamepotea na kuuwawa bado tunacheka na mtu.Rais Chakwera hatadumu sana,mara hii ameanza kukiuka ahadi zake,watu wanaanza kugoma etc
Lugha tangu kafika mwenyeji wake anatumia lugha inayomchanganya .There is something wrong
Naona mmeanza kujifunza kingereza cha mabeberu but still you speak poor EnglishAccording his press secretary, President Chakwera has completed his visit
Nimekushindwa, unaloga hadi nje ya nchi