Unless you have a lot in common with your party's presidential candidate, you need to do a lot to polish your English.According his press secretary, President Chakwera has completed his visit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unless you have a lot in common with your party's presidential candidate, you need to do a lot to polish your English.According his press secretary, President Chakwera has completed his visit
Ha ha haaa....mzomeeeni huyu......eti "polish your English" Kwani English is shoes? Ovyo kabisa huyu magwandaUnless you have a lot in common with your party's presidential candidate, you need to do a lot to polish your English.
Mbowe anajua uongozi yule?. Chama kilishajifia Zamani. Oct 28, ni mkwaju kwa kwenda mbele.Marais wa Burundi na Malawi wameitwa na serikali kwa kodi za watanzania ili kuja kupiga kampeni. Kweli Magufuli hajui maana ya uongozi.
Kweli wewe hamna kitu nimeamini. Ras Simba ahusikeHa ha haaa....mzomeeeni huyu......eti "polish your English" Kwani English is shoes? Ovyo kabisa huyu magwanda
Mkuu nikuombe sana radhi kweli Area 18 interchange imejengwa na imeanza kutumikaJanja ya Chakwera hataki kutumika....unajua Magufuli maji ya shingo sasa hivi anachomekea kila kitu kuokoa jahazi....Chakwera ni mpinzani ni mwanasiasa wa muda mrefu anajua hila za ccm ktk kukwamisha demokrasia. Hata hivyo alikuja tu kwa maslahi ya wana malawi tu.
Duu.... Ungeacha tu usijibu, unazidi kujiaibisha. Unaonekana kichwani hamna kabisa. Yaani hii comment imedhihirisha jinsi ulivyo mtupu kichwani "empty headed"Ha ha haaa....mzomeeeni huyu......eti "polish your English" Kwani English is shoes? Ovyo kabisa huyu magwanda
Ndipo ulipofikia hapo.!! 🤣 Do you know of something called "Idiom". If you don't, then it's not my fault, your mum might have buried a baby and preserved the placenta.Ha ha haaa....mzomeeeni huyu......eti "polish your English" Kwani English is shoes? Ovyo kabisa huyu magwanda
Rasilimali za walipa kodi zinatumika na CCM peke yake na sasa TBCCCM na Polisiccm na NECCCM Tumeccm ni vyombo binafsi vya CCM na kibaya zaidi vinalipwa mishahara kwa pesa za walipa kodi lakini vinaitumikia CCM pekee,hayo ni matumizi mabaya ya pesa za ummaMarais wa Burundi na Malawi wameitwa na serikali kwa kodi za watanzania ili kuja kupiga kampeni. Kweli Magufuli hajui maana ya uongozi.
Kagundua mtukufu magufuli ni muonevu mnyanyasaji mpenda kesi kesi za kubambikia kaamua kukimbia mapemaAmegundua CCM hawana democracy..kasepa
Bado unavuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba?Ha ha haaa....mzomeeeni huyu......eti "polish your English" Kwani English is shoes? Ovyo kabisa huyu magwanda
Haikuwa na mafanikio kwani kaikatisha baada ya kugundua kuwa CCM ni waonevu wanyanyasaji wa vyama vyote upinzani wanapenda kesi kesi kuliko hata chakulaZiara ya Rais wa Malawi ilikuwa ya mafanikio makubwa sana.
Karibu tena, Tanzania.
Mi nadhani wale wanaoona simba kaachama wakaweka vidole vyao mdomoni mwake ndio wanapenda kesi.Kagundua mtukufu magufuli ni muonevu mnyanyasaji mpenda kesi kesi za kubambikia kaamua kukimbia mapema
Ukishatoka madarakani ndo unakuwa mpinzani siyo chama tawala tenaChakwera anatokana na chama cha MCP ambacho ndicho kilipigania uhuru wa Malawi. Hicho chama kiliondoshwa na Muluzi uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi na sasa kimerudi madarakani.
Ha haha haaa acha dharau mzee yaani sisi tunaosoma even class elimu zetu kumbe haziheshimiki?Phd holder hawezi akawa vile labda kama hiyo phd alisomea kwenye evening classes
Kipigo cha 28-10-2020 kinawachanganya kwa hiyo wanatafuta mada za kibwege za kujifariji.Mtapata taabu sana.
Chadema wakt mwingine wanakuwa kama wamechanganyikiwa Mbowe amegombea wenyekiti wa chama wakt bado akiwa mwenyekitiNi nchi gani duniani Rais wa nchi wakati wa kampeni za uchaguzi anaacha urais kwa muda?