Rais wa Malawi akatiza ghafla ziara yake nchini Tanzania

Ndio maana nikauliza hiyo PHD ni ya kiingereza,maana hapo umepima elimu yake kwa kuangalia uwezo wake wa kuongea lugha ya kiingereza.

Kwa sababu mtu kushindwa kuongea vizuri lugha kuna sababu zake tofauti tofauti na hilo ni tatizo ambalo watanzania wengi tunalo ila hiyo haina maana kuwa hatukuwa tukielewa masomo yetu au hatukuwa tukitumia hicho kiingereza huko masomoni.
Acha kutetea ujinga. Unawezaje kuelezea kitu kwenye lugha usiyojua na ukapata PhD. Putin anajua Kijerumani na wala hana hata diploma kwenye lugha hiyo. Angela Merkel anajua Kirusi wala hana hata degree kwa kutumia lugha hiyo. Condoleeza Rice, former Secretary of State wa US alipata degree kwa lugha ya Kirusi na anaijua vema lugha hiyo.

Huwezi soma na kufundisha hadi ukafikia kuwa PhD holder na hujui lugha uliyotumia. Mwalimu wa Hisabati darasa la tatu ambaye hajui Kiswahili ukimtetea kisa hafundishi somo la Kiswahili utakuwa unatetea ujinga.
 
Habari zinasema rais wa Malawi amekatiza ziara yake hapa nchini baada ya mazungumzo na Rais Magufuli na wafanya biashara wa Malawi.

Rais Chakwera alifika Tanzania Jumatano kwa ziara ya siku tatu ya kikazi, alitarajiwa kuondoka Ijumaa ila ameondoka alhamisi kutokana na dharura ya mambo ambayo yametokea nchini kwake.

Imeripotiwa kuwa rais Chakwera amerudi kushughulikia migomo ya Wanawake wanaotaka usawa yanayoendelea nchini kwake.

====
Malawi President Lazarus Chakwera has cut short his official trip to Tanzania, after holding official talks with President John Magufuli, visited Malawi Cargo Centre and met some business investors in private.

Chakwera arrived in Tanzania on Wednesday for a three-day official visit and was expected to leave on Friday.
Malawi’s State House confirmed Chakwera was returning home a day earlier to attend to urgent domestic priorities.

He was seen off at the Julius Nyerere International Airport by his host President Magufuli, Foreign Affairs and International Relations minister, Prof Palamagamba Kabudi, First Lady Janeth Magufuli and several other government dignitaries.

His plane left JNIA at 4:03pm, shortly after holding official talks with President John Pombe Magufuli, visited Malawi Cargo Centre and met some business investors in private.

Lilongwe State House confirmed on Thursday, October 8, 2020 that the Malawi leader was returning home a day earlier to attend demonstrations organised by women in the country against gender imbalance.

Demonstrations which would have marred Chakwera’s return were expected to be held tomorrow the day he was supposed to conclude his three day visit to Tanzania.

Presidential Press Secretary Brian Banda said Chakwera will arrive at the Kamuzu Banda International Airport in Lilongwe on Thursday afternoon.

“Yes, the President is coming back today at 4:30 pm. Initially, it was supposed to be a three-day visit but the President has other engagements back home,” Mr Banda told a local newspaper without disclosing more details.

Dr Chakwera chartered Malawian Airlines – ET – 20 on his trip to Tanzania which is scheduled to leave for Johannesburg on Friday at 09:20 am.

He chartered the same plane on his state visits to Zambia, Zimbabwe and Mozambique.
His Mozambican trip delayed, for hours, some passengers who were travelling to South Africa on Tuesday using the same plane.
Hakukatiza ziara, ziara yake ilikuwa ya siku mbili tu na ndivyo alivyofanya Zambia, Zimbabwe na Msumbiji, tafuta Post yangu niliyoandika wakati akiondoka Malawi kuja Tanzania, hilo la siku tatu lilitamkwa huku.
 
Hapana alitumia English kudefend thesis yake hata hivyo alikuwa ni Mwalimu kwahiyo hatutegemei kiingereza kibovu kama kile kutoka kwake labda hiyo Phd iwe feki
Wasomi wangapi wanajua kiingereza vizuri lkn utendaji wao maofisini ni bomu.Wewe unadhani kuongea kiingereza vizuri ndiko kutamfanya Rais kuonekana bora,isije shangaza hata wewe unaedhihaki kiingeza cha Rais ni mbumbumbu.
 
Tulia wewe mammalia mshauri huyo jiwe wenu anazidi kulivua Taifa nguo kwa hayo mabroken yake kama phd holder na Mwalimu
 
Sasa hv kampeni zinaendelea marekani.nani Rais wa nchi hiyo.
Ungekuwa kweli unafuatilia masuala ya kisiasa na sio kusombwa na ushabiki basi ungejua kuwa Raia wa Marekani ni D. Trump na anaendelea na urais wake licha ya kuwa anafanya kampeni ili ashinde kwa kipindi cha pili.
 
Umekurupuka kujibu,nimemuuliza anayesema katiba yetu ni tatizo kwamba inatakiwa mtu akiwa rais pindi uchaguzi unapofika atoke madarakani.Halafu kuna mtu kamuuliza ataje nchi japo moja ambayo uchaguzi ukifika rais huwa anaondoka madarakani na anachaguliwa kiongozi wa mpito.Ndo nami nikamuuliza kuhusu Marekani maana ndo nchi wanaiona yenye demokrasia.nikiwa na maana ya kwamba mbona wale wanaojiita walimu wa demokrasia yamewashinda?Rais wao nimgombe ilhali ni rais wa nchi hiyo.

Samahani nilikosea kukujibu wewe badala yule.
 
Kaona hakuna nini....au mahotuba yetu yalikera? Stupid nyingi, fokafoka wa kwenda mbele
 
Habari zinasema rais wa Malawi amekatiza ziara yake hapa nchini baada ya mazungumzo na Rais Magufuli na wafanya biashara wa Malawi.

Rais Chakwera alifika Tanzania Jumatano kwa ziara ya siku tatu ya kikazi, alitarajiwa kuondoka Ijumaa ila ameondoka alhamisi kutokana na dharura ya mambo ambayo yametokea nchini kwake.

Imeripotiwa kuwa rais Chakwera amerudi kushughulikia migomo ya Wanawake wanaotaka usawa yanayoendelea nchini kwake.

====
Malawi President Lazarus Chakwera has cut short his official trip to Tanzania, after holding official talks with President John Magufuli, visited Malawi Cargo Centre and met some business investors in private.

Chakwera arrived in Tanzania on Wednesday for a three-day official visit and was expected to leave on Friday.
Malawi’s State House confirmed Chakwera was returning home a day earlier to attend to urgent domestic priorities.

He was seen off at the Julius Nyerere International Airport by his host President Magufuli, Foreign Affairs and International Relations minister, Prof Palamagamba Kabudi, First Lady Janeth Magufuli and several other government dignitaries.

His plane left JNIA at 4:03pm, shortly after holding official talks with President John Pombe Magufuli, visited Malawi Cargo Centre and met some business investors in private.

Lilongwe State House confirmed on Thursday, October 8, 2020 that the Malawi leader was returning home a day earlier to attend demonstrations organised by women in the country against gender imbalance.

Demonstrations which would have marred Chakwera’s return were expected to be held tomorrow the day he was supposed to conclude his three day visit to Tanzania.

Presidential Press Secretary Brian Banda said Chakwera will arrive at the Kamuzu Banda International Airport in Lilongwe on Thursday afternoon.

“Yes, the President is coming back today at 4:30 pm. Initially, it was supposed to be a three-day visit but the President has other engagements back home,” Mr Banda told a local newspaper without disclosing more details.

Dr Chakwera chartered Malawian Airlines – ET – 20 on his trip to Tanzania which is scheduled to leave for Johannesburg on Friday at 09:20 am.

He chartered the same plane on his state visits to Zambia, Zimbabwe and Mozambique.
His Mozambican trip delayed, for hours, some passengers who were travelling to South Africa on Tuesday using the same plane.
Has realized that he bears a different feather?
 
Acha kutetea ujinga. Unawezaje kuelezea kitu kwenye lugha usiyojua na ukapata PhD. Putin anajua Kijerumani na wala hana hata diploma kwenye lugha hiyo. Angela Merkel anajua Kirusi wala hana hata degree kwa kutumia lugha hiyo. Condoleeza Rice, former Secretary of State wa US alipata degree kwa lugha ya Kirusi na anaijua vema lugha hiyo.

Huwezi soma na kufundisha hadi ukafikia kuwa PhD holder na hujui lugha uliyotumia. Mwalimu wa Hisabati darasa la tatu ambaye hajui Kiswahili ukimtetea kisa hafundishi somo la Kiswahili utakuwa unatetea ujinga.
Kuna tofauti kati ya kutokujua lugha kabisa na kushindwa kumudu kuongea vizuri hiyo lugha,ni jambo ambalo liko wazi kuwa watanzania wengi hatumudu kuongea vizuri kiingereza ila huwezi kusema hatujui kiingereza kabisa na hivyo huko masomoni tulikuwa hatuelewi masomo sababu lugha ya kufundishia hatuijui.
 
Acha kutetea ujinga. Unawezaje kuelezea kitu kwenye lugha usiyojua na ukapata PhD. Putin anajua Kijerumani na wala hana hata diploma kwenye lugha hiyo. Angela Merkel anajua Kirusi wala hana hata degree kwa kutumia lugha hiyo. Condoleeza Rice, former Secretary of State wa US alipata degree kwa lugha ya Kirusi na anaijua vema lugha hiyo.

Huwezi soma na kufundisha hadi ukafikia kuwa PhD holder na hujui lugha uliyotumia. Mwalimu wa Hisabati darasa la tatu ambaye hajui Kiswahili ukimtetea kisa hafundishi somo la Kiswahili utakuwa unatetea ujinga.
We will follow our own directionsss ... usituretee retee hapa... preeeeease....
 
Back
Top Bottom