[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mana bongo kuna chimbo za hatareee!Usikute huyu jamaa wa Malawi yupo tu hapa Bongo anakula bata .
Mkuu huyo rais alikuwa ZambiaApotee kabisa asirudi tena Zambia.
Kwa kweli anaweza asitoke !Habari kama hizi wanazidi kumtisha rais wetu asitoke ndani.
Ahaaaaa kikikiiiiiduhh!! ndiyo maana jpm hapendi viherehere vya kusafiri ona sasa!!!
ndio mara yangu ya kwanza, kusikia tukio la kupotea rais
AmenikumbushaMH 17 ya Malaysiandio mara yangu ya kwanza, kusikia tukio la kupotea rais
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]Maajabu, duu naskia raha sana kwa kweli, eti Rais wa nchi kapotea? hahhaha jamaaa yupo sehemu tuu anapunga upepo pengine hata yuko hapo zanzibar anakula tiGO.