Tetesi: Rais wa Malawi hajulikani aliko

Tetesi: Rais wa Malawi hajulikani aliko

Anakula bata eti kapotea....tulieni nyie wanyasa mkulu anakula bata makasino atarudi.
 
Rais anayezungukwa na watu kibao anapoteaje? Nilisikiaga ana nyumba US.
 
Hapo akianga kuwa harudi tena
Malawi-576131.jpg
yale maandishi pale juu kushoto ni BOMBARDIER ama ?
 
Naona huu ni utani - Ni hoax, kuna baadhi ya watu wana kawaida ya kuleta habari za uongo kuhusu watu mashuhuri au Viongozi kwamba wamefariki Dunia mfano: Rais Mugabe, Silvester Stallone, Obama nk.
 
Back
Top Bottom