Tetesi: Rais wa Malawi hajulikani aliko

Tetesi: Rais wa Malawi hajulikani aliko

Hivi ni kweli mpaka leo hajulikani alipo? Hata BBC,DW, CNN nk mbona hawajatangaza hii habari kama ina ukweli?
 
Hapo akianga kuwa harudi tena
Malawi-576131.jpg
Hahahaaa Vitu vingine vinachekesha
 
Yupo hapa kwangu tunajadili mambo fulani hivi tukimaliza ntamruhusu arudi so wananchi msiwe na wasiwasi
 
Haya inaelekea ni maoni ya mtu aliyeandika ndani ya gazeti.Angalia na ushauri anaotoa kwa vyombo vya America.
Hii si kauli ya serikali hata kidogo.

Anawakilisha wazalendo wenzake kutaka kujua alipo raisi wao, hivyo ni jukumu la serikali kuwaeleza wananchi alipo raisi wao ili kuwatoa hofu
 
Back
Top Bottom