Tetesi: Rais wa Malawi hajulikani aliko

Basi labda kesha hamisha za kutosha kisha kaamua akaishi na washikaji zake huko. Hawa viongozi wa kizazi hiki ni full uhuni tu
Hahhahahaa anakula good time tu, hivi sio Hoax kweli hao??
 
Anakula bata eti kapotea....tulieni nyie wanyasa mkulu anakula bata makasino atarudi.
 
Rais anayezungukwa na watu kibao anapoteaje? Nilisikiaga ana nyumba US.
 
Naona huu ni utani - Ni hoax, kuna baadhi ya watu wana kawaida ya kuleta habari za uongo kuhusu watu mashuhuri au Viongozi kwamba wamefariki Dunia mfano: Rais Mugabe, Silvester Stallone, Obama nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…