Sasa kama rais hajulikani alipo,,ndege jeRais kapotea na ndege yake!
Inasemekana Mara ya mwisho alihudhuria kikao cha U.N
Duhkama kweli kapotea basi malawi malawi itakuwa taifa la hovuo kuwahi kutokea tangu enzi za nuhu
Haahh, hiyo mbona rahisi, wazipatie mamlaka za anga taarifa, wataonyesha kila sehemu ilikopita mapaka ilipo.Sasa kama rais hajulikani alipo,,ndege je
Hahahaaa Vitu vingine vinachekeshaHapo akianga kuwa harudi tena
Hiyo Bombardier mzeeyale maandishi pale juu kushoto ni BOMBARDIER ama ?
Haya inaelekea ni maoni ya mtu aliyeandika ndani ya gazeti.Angalia na ushauri anaotoa kwa vyombo vya America.
Haya inaelekea ni maoni ya mtu aliyeandika ndani ya gazeti.Angalia na ushauri anaotoa kwa vyombo vya America.
Hii si kauli ya serikali hata kidogo.