Rais wa Marekani Donald trump aagiza bendera zote za upinde kushushwa

Rais wa Marekani Donald trump aagiza bendera zote za upinde kushushwa

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1,846
Reaction score
2,754
Ikiwa ni mwendelezo wake juu ya kupinga masuala ya wanaharakati wa LGBTQ+ amepiga marufuku bendera za upinde kuendelea kupepea.

Amesema kwamba bendera ya taifa hilo inatosha kulinda haki zote za raia wa taifa hilo.
 
Haya sasa wazee wa upinde kazi kwenu
Safi sana tunahitaji maoni ya Tundu lissu juu ya bendera za wateja wake kushushwa!
 
Huyu jamaa ni Magufuli mweupe ovaaaa.

Mnakumbuka magu alivyoapishwa tu aliwaibukia benki kuu tena kwa miguu tu,

Imagine upo ofisini kwako(bot) let's say labda unachungulia porno kidogo kwenye PC ya ofisi, ile kunyanyua macho ucheki soo, unajikuta uso kwa uso na magu.(hiiiiiiiiiiiii bhagooosha)

Mie niliendaga ubalozi wa marekani ile nakunja kona, nakutana uso kwa uso na sanamu la Obama linanichekea aseeee nilishtuka ile mbaya, nilidhani nimekutana na Obama live kwenye korido.

Inabidi museveni afanye mpango wa kumpa tuzo Trump.

Mie nadhani deep state walimtoa Trump kipindi kile wakamuweka kiporo/bench wakijua watamrudisha baadae coz ni kama walijua dunia itakuja kuchangamka na kuhitaji mtu mwenye maamuzi magumu kama DT.

We angalia China anaitaka Taiwan, mrusi anaitaka Ukraine, Malawi wanaitaka mbeya halafu marekani ndio alikua mzembe, si unaona tu Trump kuingia ametangaza anaitaka suez canal na green land, hii sio bahati mbaya

Lile li askofu juzi liliongea pumba tu pale kanisani kuhusu mashoga, ukiangalia body language ya Trump na makamuu wake ni kama walimaind dizain flani, ila waliamua kuwa wavumilivu sababu ni kanisani.

Angekua mtu kama magu, angeomba mic akampa za uso pale pale.

Ccm wapepeze bendera, CHADEMA wapepeze bendera, mashoga wapepeze bendera, singo maza wapepeze bendera, KATAA NDOA NA SISI TUPEPEZE BENDERA, si itakua kama vipepeo sasa. Bendera ya taifa tu inatosha.
 
Ikiwa ni mwendelezo wake juu ya kupinga masuala ya wanaharakati wa LGBTQ+ amepiga marufuku bendera za upinde kuendelea kupepea.

Amesema kwamba bendera ya taifa hilo inatosha kulinda haki zote za raia wa taifa hilo.
1000176244.jpg

Bado hawa
Cc malaria 4 na rizi
 
Back
Top Bottom