Huyu jamaa ni Magufuli mweupe ovaaaa.
Mnakumbuka magu alivyoapishwa tu aliwaibukia benki kuu tena kwa miguu tu,
Imagine upo ofisini kwako(bot) let's say labda unachungulia porno kidogo kwenye PC ya ofisi, ile kunyanyua macho ucheki soo, unajikuta uso kwa uso na magu.(hiiiiiiiiiiiii bhagooosha)
Mie niliendaga ubalozi wa marekani ile nakunja kona, nakutana uso kwa uso na sanamu la Obama linanichekea aseeee nilishtuka ile mbaya, nilidhani nimekutana na Obama live kwenye korido.
Inabidi museveni afanye mpango wa kumpa tuzo Trump.
Mie nadhani deep state walimtoa Trump kipindi kile wakamuweka kiporo/bench wakijua watamrudisha baadae coz ni kama walijua dunia itakuja kuchangamka na kuhitaji mtu mwenye maamuzi magumu kama DT.
We angalia China anaitaka Taiwan, mrusi anaitaka Ukraine, Malawi wanaitaka mbeya halafu marekani ndio alikua mzembe, si unaona tu Trump kuingia ametangaza anaitaka suez canal na green land, hii sio bahati mbaya
Lile li askofu juzi liliongea pumba tu pale kanisani kuhusu mashoga, ukiangalia body language ya Trump na makamuu wake ni kama walimaind dizain flani, ila waliamua kuwa wavumilivu sababu ni kanisani.
Angekua mtu kama magu, angeomba mic akampa za uso pale pale.
Ccm wapepeze bendera, CHADEMA wapepeze bendera, mashoga wapepeze bendera, singo maza wapepeze bendera, KATAA NDOA NA SISI TUPEPEZE BENDERA, si itakua kama vipepeo sasa. Bendera ya taifa tu inatosha.