Rais wa Marekani Donald trump aagiza bendera zote za upinde kushushwa

Ikiwa ni mwendelezo wake juu ya kupinga masuala ya wanaharakati wa LGBTQ+ amepiga marufuku bendera za upinde kuendelea kupepea.

Amesema kwamba bendera ya taifa hilo inatosha kulinda haki zote za raia wa taifa hilo.
Jamaa ana akili Sana
 
Amesema kwamba bendera ya taifa hilo inatosha kulinda haki zote za raia wa taifa hilo.💪🏿👌🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…