Rais wa Marekani Donald trump aagiza bendera zote za upinde kushushwa

Huyo raisi ni mwehu, miaka minne atakayokaa madarakani ataivuruga sana Marekani na dunia kwa ujumla.

Ni kama Tanzania ilivyotawaliwa na Magufuli, mental disease!
Kwani wewe unaona ni vibaya hizo bendera kushushwa?
 
wizara ya afya inamkataba nao hatari sana ....rejea mkutano wa Dr mwakyembe na waandishi wa habari
Wamaanisha nini kuhusu mkataba, Dr Mwakiyembe alienda kuhakiki mikoa yenye mabaradhuli huko Tz tu na kujua hasa wanafadhiliwa na nani lakini baada ya hapo hakuna hatua yoyote ilichukuliwa, hakuna baradhuli yoyote aliyefungwa jela na hata kuwekwa selo japo kwa siku moja.
 
Kwani wewe unaona ni vibaya hizo bendera kushushwa?
Ni sawa na raisi wa Tanzania aseme Bendera za Simba na Yanga zishushwe, bendera ya taifa inatosha kuwawakilisha mashabiki wote wa simba na yanga.
 
Ata
 
Mmh, mbona unaniangusha ndugu yangu, wewe si tulikuwa wote kupinga ubakaji wa watoto wa miaka 9 au nimechanganya ID?
Ni mimi mwenyewe hujakosea, Ila hao upinde wengi wao wanatokana na ukatili wanaofanyiwa wakiwa watoto..!!

Na kuushabikia ni kuendeleza kuwafanya hao wabakaji waendelee na hiyo michezo.!!

Wao km wanaofanya wanapenda wafanye kwa siri lakini kutaka wote tuwashabikie maadili kuvunjika BIG NO
 
Ndio zishushwe mungu aliumba mke na mume na si vinginevyo huyo ndio trump anajua anachokifanya na mungu aendelee kumpa nguvu apigane na hao
 
Ukiweka ya wanamboga mboga yakwake yatafuatia
Mboga mboga maoni yao yalisababisha makonda apigwe ban america maana aliwasaka kijiji kwa kijiji ghetto kwa ghetto lissu akalialia kwa mabwana zake!
 
Mboga mboga maoni yao yalisababisha makonda apigwe ban america maana aliwasaka kijiji kwa kijiji ghetto kwa ghetto lissu akalialia kwa mabwana zake!
Kwahiyo wanakijani aka mboga mboga walimfitini ntu yao wenyewe?Mbona aliyofanya ni sehemu ya kazi walizomtuma
 
Yaani kwa mfano hao lesbians (wasagaji) wanafanyiwa ukatili gani wakiwa watoto, wanasagwa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…