Kwani wewe unaona ni vibaya hizo bendera kushushwa?Huyo raisi ni mwehu, miaka minne atakayokaa madarakani ataivuruga sana Marekani na dunia kwa ujumla.
Ni kama Tanzania ilivyotawaliwa na Magufuli, mental disease!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe unaona ni vibaya hizo bendera kushushwa?Huyo raisi ni mwehu, miaka minne atakayokaa madarakani ataivuruga sana Marekani na dunia kwa ujumla.
Ni kama Tanzania ilivyotawaliwa na Magufuli, mental disease!
Wamaanisha nini kuhusu mkataba, Dr Mwakiyembe alienda kuhakiki mikoa yenye mabaradhuli huko Tz tu na kujua hasa wanafadhiliwa na nani lakini baada ya hapo hakuna hatua yoyote ilichukuliwa, hakuna baradhuli yoyote aliyefungwa jela na hata kuwekwa selo japo kwa siku moja.wizara ya afya inamkataba nao hatari sana ....rejea mkutano wa Dr mwakyembe na waandishi wa habari
Ni sawa na raisi wa Tanzania aseme Bendera za Simba na Yanga zishushwe, bendera ya taifa inatosha kuwawakilisha mashabiki wote wa simba na yanga.Kwani wewe unaona ni vibaya hizo bendera kushushwa?
AtaHuyo raisi ni mwehu, miaka minne atakayokaa madarakani ataivuruga sana Marekani na dunia kwa ujumla.
Ni kama Tanzania ilivyotawaliwa na Magufuli, mental d
Taratibu wanajitokeza
Atavuruga kwa lipi mungu aliumba mke na mume si vinginevyo unavyojua wewe Yuko sawa na mungu atambariki na mungu atawawasamehe maana wanapata majanga na hayo trump ameona
Ukiweka ya wanamboga mboga yakwake yatafuatiaSafi sana tunahitaji maoni ya Tundu lissu juu ya bendera za wateja wake kushushwa!
Ata nini?
Ni mimi mwenyewe hujakosea, Ila hao upinde wengi wao wanatokana na ukatili wanaofanyiwa wakiwa watoto..!!Mmh, mbona unaniangusha ndugu yangu, wewe si tulikuwa wote kupinga ubakaji wa watoto wa miaka 9 au nimechanganya ID?
Nimepiga hip hop kali 😹😹Umepigaje hapo? 😂😂
Kwani wewe unaona ni vibaya hizo bendera kushushwa?
Mashoga utawasikia tuHuyo rais ni mwehu, miaka minne atakayokaa madarakani atavuruga sana Marekani na dunia kwa ujumla.
Ni kama Tanzania ilivyotawaliwa na Magufuli, ugonjwa wa akili!
Umeshasema kwa uficho maana yake hawaruhusiwi! Hata hivyo Vatikan inaonyesha wanaunga mkono ushoga!Hiyo bendera mpaka Vatican ipo ila kwa uficho, ataweza? Kumbuka Vatican ni kila kitu!
Mboga mboga maoni yao yalisababisha makonda apigwe ban america maana aliwasaka kijiji kwa kijiji ghetto kwa ghetto lissu akalialia kwa mabwana zake!Ukiweka ya wanamboga mboga yakwake yatafuatia
Kwahiyo wanakijani aka mboga mboga walimfitini ntu yao wenyewe?Mbona aliyofanya ni sehemu ya kazi walizomtumaMboga mboga maoni yao yalisababisha makonda apigwe ban america maana aliwasaka kijiji kwa kijiji ghetto kwa ghetto lissu akalialia kwa mabwana zake!
🤦🏿♂️🤦🏿♂️🤦🏿♂️
Kwa hiyo lissu ni mboga mboga..... tunatoa miwani bure!Kwahiyo wanakijani aka mboga mboga walimfitini ntu yao wenyewe?Mbona aliyofanya ni sehemu ya kazi walizomtuma
Mboga mboga ni za kijani ukitizama mikusanyiko yao unaona makabichi,chines spinachi,sukuma wiki na matembele.Kwa hiyo lissu ni mboga mboga..... tunatoa miwani bure!
Yaani kwa mfano hao lesbians (wasagaji) wanafanyiwa ukatili gani wakiwa watoto, wanasagwa au?Ni mimi mwenyewe hujakosea, Ila hao upinde wengi wao wanatokana na ukatili wanaofanyiwa wakiwa watoto..!!
Na kuushabikia ni kuendeleza kuwafanya hao wabakaji waendelee na hiyo michezo.!!
Wao km wanaofanya wanapenda wafanye kwa siri lakini kutaka wote tuwashabikie maadili kuvunjika BIG NO