Rais wa Marekani Donald Trump aagiza boat za Iran zilizoko Mlango bahari wa Hormuz zizamishwe!!

Rais wa Marekani Donald Trump aagiza boat za Iran zilizoko Mlango bahari wa Hormuz zizamishwe!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha boat zote zinazofanya uhalifu kwenye mlango bahari wa Hormuz!!
 

Attachments

  • IMG_20260423_190731_096.jpg
    IMG_20260423_190731_096.jpg
    174.4 KB · Views: 29
Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha boat zote zinazofanya uhalifu kwenye mlango bahari wa Hormuz!!
Mwaka huu litrump kapatikana
 
Sasa wewe kwa ujingaz wako Nevy ni Mameli Makubwa makubwa siyo? Hebu tuondolee udunduka wako hapa
Mimi sibishani na Bumunda kama wewe kwa akili yako kiduchu Mameli makubwa makubwa ndiyo Navy!!

Nenda kabishane na wapumbavu wenzako huko!!
 
This for those educated Tanzanian because in english
Wendy Sherman former American negotiator and ambassador
Listned to her ,respectable woman ,she is jewish
Msiojua kiingereza pumzikeni


View: https://youtu.be/5iCZtbIPmss
 
Back
Top Bottom