Rais wa Marekani Donald Trump aagiza boat za Iran zilizoko Mlango bahari wa Hormuz zizamishwe!!

Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha boat zote zinazofanya uhalifu kwenye mlango bahari wa Hormuz!!
Je zimezamishwa? fuatilia
Yeye amepaki mameli yake nje ya maji ya Iran kwanini hakusogea pale Hormuz? ukiambiwa jiambie
 
Hebu sasa tupe udhibitisho kama kweli Marekani wako nje ya maji ya Iran!!

Hii unaonyesha wazi hujui hata maana ya BLOCKADE!!! Uko hapa Kunwabwaja tu!!
 
Wewe tupe definintion ya Blockade., halafu utupe na maana ya Stone Age maana trump alisema huko nyuma ataifanya Iran irudi zama za Stone Age je sasaivi Iran ni Stone Age?? alisema anataka oil ya Iran je ameipata? alisema anataka Kharg Island je amekipata? Alisema anata madini ya Iran yaliyoyeyushwa je ameyapata? alisema anataka regime change Iran je amefanikiwa, na sasa anasema waziwazi yeye ndio anamiliki na ana control Strait of Hormuz je ni kweli? tupe hiyo tafsiri Blockade

Ni ujinga uliopitiliza kumuamini trump kila anachosema kwenye mdomo wake, wataalam walisema huyu jamaa apimwe akili huenda amepoteza kumbukumbu alichokisema jana siku ya pili anasema chengine na siku ya 3 chengine hakuna mfanano wa matamshi yake, si dhani wewe na akili zako timamu unaingia katika kundi hilo la wajinga wanaojingishwa ni trump
 
Kama yote hayo huyajui ni kazi bure kukuelewesha nitakuwa natwanga maji kwenye kinu!!
 
Back
Top Bottom