Rais wa Marekani Donald Trump amefanya Mkutano na Viongozi wa nchi tano za Afrika

Rais wa Marekani Donald Trump amefanya Mkutano na Viongozi wa nchi tano za Afrika

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Marekani Donald Trump, amefanya mkutano na viongozi wa nchi tano za Afrika, Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal katika Ikulu ya White House. Mkutano huo uliandaliwa kujadili masuala ya biashara, ushirikiano, usalama na uwekezaji wa kiuchumi kati ya Marekani na bara la Afrika

Trump alisema kuwa mataifa hayo hayapo kwenye orodha ya nchi zitakazoathiriwa na ongezeko la ushuru, Mkutano huu umefanyika wakati ambapo Marekani imeondoa misaada kwa mataifa mengi ya Afrika. Pia Marekani kuzidi kuwa na hofu kuhusu kuongezeka kwa ushawishi wa China na Urusi barani Afrika

Kwa mujibu wa maafisa wa White House, mazungumzo yalilenga pia kujenga fursa mpya za kiuchumi kwa pande zote. Viongozi wa Afrika walieleza matumaini yao kuwa ushirikiano huu utasaidia kufanikisha maendeleo kwa mataifa yao, huku Marekani ikilenga kulinda maslahi yake ya kibiashara na kimkakati barani humo

===

United States President Donald Trump has met leaders from five African countries as he escalates a trade war that could impact developing countries reliant on commerce with the US

On Wednesday, Trump hosted leaders from Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania and Senegal at the White House for talks and a working lunch, with discussions expected to centre on business opportunities, according to a White House official. Trump said the five countries were unlikely to face US tariffs

During the lunch, Trump said the leaders hail from “very vibrant places with very valuable land, great minerals, great oil deposits and wonderful people”.

“There’s a lot of anger on your continent. We’ve been able to solve a lot of it,” the US president claimed, pointing to a peace agreement leaders of the Democratic Republic of the Congo and Rwanda recently signed at the White House

Trump also complimented Liberian President Joseph Boakai on his English-speaking skills – despite English being the West African country’s official language

“Liberia is a longtime friend of the United States and we believe in your policy of making America great again,” said Boakai before advocating for US investment in his country. “We just want to thank you so much for this opportunity”

Trump responded by inquiring where Boakai got his language skills. “Such good English,” the US president said. “Where did you learn to speak so beautifully?”

Boakai appeared to chuckle. “In Liberia?” Trump asked. “Yes sir,” Boakai said. “That’s very interesting,” Trump said. “I have people at this table who can’t speak nearly as well.”

Liberia was founded by freed US slaves in the 19th century. Its official language in English, though multiple Indigenous languages are spoken there as well

1752148912609.png

​
Source: Aljazeera & BBC
 
Back
Top Bottom