To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
SahihiPole Kwa wanamibia
Wao hawajaficha ficha taarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiPole Kwa wanamibia
Wao hawajaficha ficha taarifa
Huku Tanzania Kassim angeficha ukweli, angesema mshua Yuko poa anaupiga KAZIThe 82-old leader had been diagnosed with cancer and revealed his diagnosis to the public last month.
Umri mzuri wa kufa.View attachment 2893582
Namibia imempoteza Rais wake, Hage Geingob ambaye amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu ya Saratani hospitalini katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek.
Taarifa ya Makamu wa Rais wa Namibia, Nangolo Mbumba imeeleza kuwa msiba huo umetokea usiku wa kuamkia leo Februari 4, 2024.
Geingob aliweka wazi kuwa anasumbuliwa na saratani mwezi Januari 2024
==========
Namibia's President Hage Geingob has died while receiving medical treatment at a hospital in the capital, Windhoek.
Vice-President Nangolo Mbumba announced that Mr Geingob had died in the early hours of Sunday morning.
"At his side was his dear wife Madame Monica Geingos and his children," Mr Mbumba said in a statement.
The 82-old leader had been diagnosed with cancer and revealed his diagnosis to the public last month.
His office announced he would be travelling to the US for treatment, but would return to Namibia on 2 February.
Mr Geingob became president in 2015 and was serving his second and final term in office.
He underwent an aortic operation last year, and in 2014 he revealed that he had survived prostate cancer.
Namibia is due to hold presidential and parliamentary elections in November.
The governing Swapo party, which has been in power since independence in 1990, has chosen Mrs Nandi-Ndaitwah as its presidential candidate.
She is currently also Namibia's deputy prime minister, and will become the country's first female president if she wins.
Source: BBC
Hahaha mkuuUgonjwa wa kansa unatangazika kiurahisi.
Kwamba yeye kwa kila mtu uwa ni mdogo maana uwa ni mwendo wa kaka yangu daimaNImepata Taarifa kwamba Kaka yangu Rais wa Namibia Hage Geingob amefariki Dunia.
Kama nchi ya Tanzania tunatoa pole kwa Wafiwa na Taifa la Namibia kwa ujumla, Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe..
🤣🤣🤣Kwamba yeye kwa kila mtu uwa ni mdogo maana uwa ni mwendo wa kaka yangu daima
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app