Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Rejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude?
Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana
Huyu ndio ubongo/kichwa wa Chadema........ Aisee
Lugha chafu hadi kinyaa