Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

Wakati wa bob makani na chama chake (Chadema) ujinga kama huu hukuwepo,
 
Kweli tunahitaji katiba mpya
Kweli tuna viongozi mfano wa manyampara
Lakini, huyu Mdude huwa namuona naye ana mihemko. Kuna siku ali tweet hearsay mpaka akasahihishwa na mwanachadema mwingine. Unapokua mwanaharakati kwanza uwe smart upstairs. Kosa dogo tu linaondosha thamani yako.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu vipi tena mbona unataka kuumbua watu mchana wote huu ilhali ugali wa shemeji ndiyo kwanza umefika tumboni?!!!!!
nilitegemea kama angekuwa mtu mwenye hoja za kweli na zenye mashiko mpaka sasa tungeshapata jibu,tatizo wengi wetu tumekataa kuwa bendera fuata upepo
 
hapana mkuu sio kuumbua watu ni kutaka kujua tu ili nasi tusiojua tujue anachokipambania mwenzetu kama kina maslahi kwa Taifa basi tunaahidi kushirikiana tupambanie pamoja
Sawa mkuu. ngoja nami nikae mguu sawa nijiandae kupata hiyo elimu kutoka kwa huyo mkuu mwenzetu ambaye, bila shaka, ameona ombi lako. Naamini leo watu wanaenda kuelewa kitu kuhusu hii hoja ya 'Katiba ya Warioba! Katiba ya Warioba!' kila siku.
 
nilitegemea kama angekuwa mtu mwenye hoja za kweli na zenye mashiko mpaka sasa tungeshapata jibu,tatizo wengi wetu tumekataa kuwa bendera fuata upepo
Inawezekana anapitia kidogo mkuu, don't jump to conclusion!
 
Haka kajinga wangekasaga na kuja kuokotwa kwenye viroba huko..

Ujue hata kwenye biblia kuna wafalme waliagizwa na Mungu kuua watu wasio na maslahi na Nchi..

Ni Afya kupoteza Mtu mmja kama huyo kwa faida ya wengi..

Eti hao ndio viongozi wa chadomo wanataka kuchaguliwa.
Anza kumpoteza babaako kama unaye, ili uone raha ya kupotelewa na mwanafamilia.
Ok, Mdude kakosea, je inakupa uhalali wa kushauri auwawe?
Unajua dhamani ya uhai, au ukishashakuwa chawa akili zinahamia kwingine,
 
Rejea kichwa tajwa hapo juu

Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani
Lakini wakuiondoa ni haya mazuzu?? Akiwemo Mdude

Chadema jifunzeni....hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu

Mkanyeni huyu mjinga....kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa...anaweza kupotezwa vibaya sana
Kuita rais nyapara sioni tatizo. Watanzania wengi wana tatizo la nidhamu iliyopitiliza na "lese majeste" ya kujitakia.

Uongozi gunia la chawa. Moja ya mishahara ya uongozi ni kuitwa majina ya kila aina, kwa haki na bila haki.

Tatizo Mtanzania anapopendekeza rais wa Kenya kuwa rais wa Afrika.

Ina maana yeye kashakubali chama chake hakiwezi kupata uongozi wa nchi yake kikaongoza nchi na Afrika.

Hii ni kauli ya mtu asiyejitambua na aliyekata tamaa.
 
Waabheja sana infinity, Ubarikiwe

Bora ccm iendelee, hawa wakiingia sijui kama hawataigawa hii nchi jamani, hiki chama kimejaa ukanda, ukabila, udini. Ni heri ccm twendeleenayo.

Hicho chama ni heri tukakishika sisi wa kanda ya ziwa, kwanza tupo wengi, na pia ni wavumilivu.
Nakukumbusha tu kuwa yule takataka hatunae tena na ni mwisho kuongozwa na washamba kutoka huko!
 
Back
Top Bottom