Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

Kwa hiyo ndio auwawe? Mpelekeni mahakamani,

..Ccm wanaamini wana haki zote dhidi ya wapinzani, ikiwemo kuwatukana, na hata kuwauwa.

..mara nyingi utawasikia vijana wa Ccm wakitukana matusi makubwa makubwa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani, na kutishia kuwadhuru au kuwauwa.
 
Rejea kichwa tajwa hapo juu

Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani
Lakini wakuiondoa ni haya mazuzu?? Akiwemo Mdude

Chadema jifunzeni....hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu

Mkanyeni huyu mjinga....kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa...anaweza kupotezwa vibaya sana
Nyapara sio tusi kabla ya kujenga hoja fanya uchunguzi wa uzito wa hoja yako
 

Attachments

  • Screenshot_20220820-165937.png
    Screenshot_20220820-165937.png
    36 KB · Views: 3
Kuita rais nyapara sioni tatizo. Watanzania wengi wana tatizo la nidhamu iliyopitiliza na "lese majeste" ya kujitakia.

Uongozi gunia la chawa. Moja ya mishahara ya uongozi ni kuitwa majina ya kila aina, kwa haki na bila haki.

Tatizo Mtanzania anapopendekeza rais wa Kenya kuwa rais wa Afrika.

Ina maana yeye kashakubali chama chake hakiwezi kupata uongozi wa nchi yake kikaongoza nchi na Afrika.

Hii ni kauli ya mtu asiyejitambua na aliyekata tamaa.
Na hiki ndicho wengi hawakioni.
 
Rejea kichwa tajwa hapo juu

Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani
Lakini wakuiondoa ni haya mazuzu?? Akiwemo Mdude

Chadema jifunzeni....hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu

Mkanyeni huyu mjinga....kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa...anaweza kupotezwa vibaya sana
Nyapara sio tusi kabla ya kujenga hoja fanya uchunguzi wa uzito wa hoja yako
 
..Ccm wanaamini wana haki zote dhidi ya wapinzani, ikiwemo kuwatukana, na hata kuwauwa.

..mara nyingi utawasikia vijana wa Ccm wakitukana matusi makubwa makubwa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani, na kutishia kuwadhuru au kuwauwa.
Kuna yule aliyesema watumia sindano ya sumu kumwua Lissu, baada ya risasi kushindwa,
Tena kwenye mkutano wa hadhara, na akashangiliwa sana,
Usishangae mkuu hawa wenye I'd fake humu ndio wauaji wenyewe, kwani chama kwao ni zaidi ya uhai wa mtu,
 
Eti bwashee, tuiondoe ccm madarakani halafu tunayaweka mazuzu kama kina mdude, lisu, nk? Basi hii itakuwa nchi ya mazuzu tupu!

Huu ujinga wa kuongozwa na chama kimoja muda mrefu tena kwa shuruti umepitwa na wakati. Kenya hapo kwa sasa kila uchaguzi kuna chama kinaanzishwa, na kinaongoza Kenya vizuri hadi wako juu kiuchumi kuliko sisi tunaoongozwa na chama kichovu bila ridhaa yetu.

Kwa taarifa yako mtu au chama chochote anaweza kuongoza nchi hii, kazi aliyoweza JK na Magufuli nani atashindwa?
 
Alikua na mabaya yake na mazuri pia, so, acha kumsema.

Mama samia namkubali, na ccm ni heri iendelee, so, achieni chama chenu tukiendeshe wa kanda ya ziwa.

Huko kanda ya ziwa nini kinawashinda kuanzisha chama, au nyie ni wengi lakini wajinga na msio na uthubutu?
 
Naona unajiuliza na kujijibu mwenyewe. Ina maana hujui tofauti ya rasimu ya warioba na tulionayo Sasa?. Rasimu ya warioba Ina taka tuwe na serikali tatu, tuwe na wabunge wawili kila mkoa, tuwe na speaker r asiye mbunge, tuwe na ukomo wa ubunge miaka kumi, nafasi za ukuu wa mkoa na Wilaya zisiwepo, televisheni ya taifa isiyoegemea popote, Tume huru ya uchaguzi, wananchi kumkataa mbunge wao iwapo hawajibiki nk
unapoulizwa swali na usipojibu kwa wakati tutajipa jibu wenyewe,nakuuliza tena kwa hoja hizo wewe kama mwananchi unafaidikaje...kwa mtazamo wangu hizo hoja zote zina maslahi kwa wanasiasa na sio mwananchi wa kawaida kama mimi wa huku kijijini Bulyaambheshi,
USHAURI:Usikubali kufanywa daraja na wanasiasa na wanaharakati uchuwara,pambania maisha yako na familia yako,hakuna mwanasiasa atakayekuletea mkate mezani na ugumu wa maisha usikufanye ukawachukia waliofanikiwa pambana nawe utafanikiwa(sisi maskini wengi tusipotumia busara tunahamishia hasira za ugumu wa maisha kwa waliofanikiwa na serikali,ni kosa kubwa sana kwani haitakusaidia kukuletea maendeleo,
LOGIC: hivi hujiulizi tu katika hali hii hii unayoilalamikia hauoni watu wanaofanikiwa na kupata maendeleo na mpo nchi moja tazama wapi unakwama bila kulaumulaumu)
 
Mleta mada wewe ni pandikizi chunguza vizuri akili yako itakuwa mazingira uliyokulia ni duni saana ndoo maana unashangaa freedom of speech.mbona ulaya kuna Raisi alipigwa kibao na raia.hivi hii ngozi yetu nyeusi ina laana?? Mbona tunazalauliana kiasi hiki?? Yaani kwa akili yako ndogo unaona mdude hana haki ya kuwashambulia wale wanaominya demokrasia??
 
Back
Top Bottom