Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Ok"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Kama wanaingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi unataka wapewe heshima gani?Rejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani
Lakini wakuiondoa ni haya mazuzu?? Akiwemo Mdude
Chadema jifunzeni....hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu mjinga....kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa...anaweza kupotezwa vibaya sana
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Kama wanaingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi unataka wapewe heshima gani?
mkuu kama hutojali hebu tuambie hiyo rasimu ya Warioba inasemaje na hii iliyopo inasemaje"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkuu kama hutojali hebu tuambie hiyo rasimu ya Warioba inasemaje na hii iliyopo inasemaje
Mi ni muumini mkubwa wa nidhamu, no matter what, ikifika hali kama hili natamani angekuwepo yule jamaa!!!!Rejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani
Lakini wakuiondoa ni haya mazuzu?? Akiwemo Mdude
Chadema jifunzeni....hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu mjinga....kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa...anaweza kupotezwa vibaya sana
Haka kajinga wangekasaga na kuja kuokotwa kwenye viroba huko..Rejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani
Lakini wakuiondoa ni haya mazuzu?? Akiwemo Mdude
Chadema jifunzeni....hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu mjinga....kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa...anaweza kupotezwa vibaya sana
Lisu angekuwa Rais ndio uchaguzi ungekuwa haujanajisiwa?
hapana mkuu sio kuumbua watu ni kutaka kujua tu ili nasi tusiojua tujue anachokipambania mwenzetu kama kina maslahi kwa Taifa basi tunaahidi kushirikiana tupambanie pamoja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu vipi tena mbona unataka kuumbua watu mchana wote huu ilhali ugali wa shemeji ndiyo kwanza umefika tumboni?!!!!!