Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Huko kanda ya ziwa nini kinawashinda kuanzisha chama, au nyie ni wengi lakini wajinga na msio na uthubutu?
Sisi ikiendelea ccm it'senough, chadema ni kirusi kilichoshindikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kanda ya ziwa nini kinawashinda kuanzisha chama, au nyie ni wengi lakini wajinga na msio na uthubutu?
Maadam limetumiwa na mdude hio ndio maana yakeKabla ya kuhamaki kwanza ungetufahamisha ni nini maana ya neno NYAPARA?
Tangu nimezaliwa sijawahi kuambiwa au kutahadaharishwa kuwa neno NYAPARA ni tusi
Ni sawa na kuniambia kuwa kumwita Rais wa nchi MSIMAMIZI/KAMANDA au KIONGOZI wa nchi ni kumtukana
Vijana wa CCM Muwe mnajiuliza kwanza kabla ya kuandika ona sasa umepoteza muda kututhibishia kuwa akili vijana wa CCM zimeganda
Nenda kaote moto ziyeyuke ili uweze kufikiria nje ya BOX usikariri mambo kwa chuki
Rejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude?
Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana
View attachment 2329236
Huyu kijana ana tatizo kichwani sio bure.Rejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude?
Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana
View attachment 2329236
Kubwa sanaHuyu kijana ana tatizo kichwani sio bure.
Ma Jimbi huwa tunayala sana zuzu wwView attachment 2331380
Acha bange wewe takataka. Tatizo la nchi zenye utawala wa IMLA, kila mpuuzi anajiona anaweza kutisha watu
Hamtaki kuwa sehemu ya michakato ya kisiasa kwa kuamua kubakia mitandaoni CCM ndio wapo hai katika masuala yote ya kisiasa na wanapigiwa kura na watu wanaojishughulisha na siasa, mmeamua kususia siasa mmebakia kutukana wale wanaozipenda siasa, hakuna wa kuwazuia kufanya mnalopenda.
Hao kina Mdude enzi za JPM walikiona cha moto awamu hii wamepewa uhuru wafungue midomo yao lakini waheshimu mamlaka zilizopo kihalali. Hata kama wanapiga kura na asilimia 40 ya watanzania wote bado hao wanaochaguliwa ni halali kwani wanatokana na mchakato halali wa uchaguzi.
Mdude awe na adabu.
Maadam limetumiwa na mdude hio ndio maana yake
Yule kijana hana staha wala adabu
Ukimtetea utawekwa kundi moja na yeye
Ok👏Wenye adabu ndio hao wanaopora uchaguzi? Kwa jinsi chaguzi zetu zinavyokuwa za kishenzi, ni ngumu kumlaumu Mdude, kwani ni kama anatukana washenzi wenye madaraka. Kwa bahati mbaya mnataka kutuaminisha ukiwa na madaraka basi una heshima. Heshima halisi inatokana na jinsi unavyoingia madarakani.
CCM wanafanya mengi sana tatizo uhuru wa habari unatumiwa vibaya na watu wa media na siku zote kunakuwa na upotoshwaji au uelewa mbaya wa jamii kuhusiana na habari za kile kinachofanyika.Mchakato halali upi, au unadhani hatukuona yaliyotokea uchaguzi wa 2020? Ukitaka heshima hakikisha unaheshimu uchaguzi, hata kama utachaguliwa na watu 10 lakini iwe kihalali ili uwe na uhalali wa kudai heshima.
Hakuna aliyesusia siasa bali tunaona kwa macho yetu nguvu za dola zinavyotumika dhidi ya wapinzani. Usitake kuleta upotoshaji ili ionekane wapinzani wamesusia siasa, bali CCM ndio wanaofanya siasa. Kwa taarifa yako siasa zikiachwa zifanywe kwa mujibu wa sheria, CCM haiwezi kuendelea kutawala nchi hii, na CCM kwa kulijua hilo ndio maana wamebakiza hujuma tu ili waendelee kukaa madarakani.
CCM wanafanya mengi sana tatizo uhuru wa habari unatumiwa vibaya na watu wa media na siku zote kunakuwa na upotoshwaji au uelewa mbaya wa jamii kuhusiana na habari za kile kinachofanyika.
Jamii inayopotoshwa na media inajenga tabia ya kupotoshana na kile kinachofanyika kinaonekana ni kwa lengo la kuumiza watu, sio kweli hata kidogo hiyo ni dhana potofu,
Kila mtu analalamikia tozo na kodi kwa sasa lakini hiyo pesa inakwenda kufanya mengi sana tena ya muhimu.
Inakwenda kumalizia ukarabati wa bandari zote, inakwenda kujenga zahanati na shule kila mkoa, inakwenda kuhudumia wazee na kushughulikia masuala ya mishahara.
Ni mengi yanayofanyika lakini watu haswa wa mijini wanakuja na taswira potofu siku zote na kinachofanywa kwa nia njema kinaonekana kama ni kupaka rangi upepo.
Ndugu yangu. Tatzo lako unatufanya watanzania ni wajinga sana. Hizo tozo zingekua zinafanya kazi vizur Wala watu wasingelalamika.CCM wanafanya mengi sana tatizo uhuru wa habari unatumiwa vibaya na watu wa media na siku zote kunakuwa na upotoshwaji au uelewa mbaya wa jamii kuhusiana na habari za kile kinachofanyika.
Jamii inayopotoshwa na media inajenga tabia ya kupotoshana na kile kinachofanyika kinaonekana ni kwa lengo la kuumiza watu, sio kweli hata kidogo hiyo ni dhana potofu,
Kila mtu analalamikia tozo na kodi kwa sasa lakini hiyo pesa inakwenda kufanya mengi sana tena ya muhimu.
Inakwenda kumalizia ukarabati wa bandari zote, inakwenda kujenga zahanati na shule kila mkoa, inakwenda kuhudumia wazee na kushughulikia masuala ya mishahara.
Ni mengi yanayofanyika lakini watu haswa wa mijini wanakuja na taswira potofu siku zote na kinachofanywa kwa nia njema kinaonekana kama ni kupaka rangi upepo.
Fursa ya kutangazwa mshindi halali wa uchaguzi ambaye wananchi wengi wamemchagua.Katiba ya sasa inakunyima fursa Gani
Fursa ya kutangazwa mshindi halali wa uchaguzi ambaye wananchi wengi wamemchagua.
Neno NYAPARA sio tusi ni jina lililotumiwa kuwakilisha aina ya utawala wa SSH.Huyu jamaa hata matatizo aliyopitia enzi za mwendazake ni kujitakia ingawa sikubaliani na mateso aliyopewa.
Huwezi kujenga hoja kwa kutukana viongozi tu kisa mnapishana itikadi za siasa hata kama wanakosea siyo kuwatusi, kwenye familia ni dhambi kumtusi baba yako,au ukiwa baba wa familia kutukana mke hata watoto kwa maneno machafu ni kukosa maadili.
Sasa kwa viongozi wa siasa walio na temper au kutukana system na kuwadhalilisha mbele ya jamii lazima wakupitishe kwenye misukosuko.