Mdude ana historia ngumu sana. Hajui hata wazazi wake wako wapi, wala hajui kwao ni wapi. Hata viongozi wa CDM hawajui whether ni Mtanzania au Mkongo. Jina Nyagari halipo kwenye makabila yote yanayopatikana mikoa ya Songwe, Mbeya na Rukwa. Alizaliwa akajikuta anaishi tu na wasamaria wema. Up bringing yake ndiyo inamfanya awe kama myama, yaani fearless.
Na kipindi cha Magufuli alilawitiwa zaidi ya mara 5 na watekaji wake hivyo haoni thamani yake ya kuwa mwanaume.
Siyo kwamba ana ujasiri bali maisha kwake hayana maana. Yuko kama mnyama akifa sawa, akijeruhiwa sawa, akilala shimoni sawa.
Mwenye akili nzuri, malezi na familia hawezi kutoa kauli kama hizo anazozitoa Mdude kwa Rais Samia. Ni Samia huyo huyo aliyekemea ubambikizaji kesi hadi Mdude akatoka kwenye mateso ya jela.