Asante sana mkuu wewe ndio umeongea point.Ndugu haya mambo ni kweli yanawezekana ila cyo kwa nchi Kama hii
Hyo Mambo Ni kwa highly systematized countries ambazo mifumo yake ni imara na hai ingiliwi na power ya mwananchi namba mara nyingi hata mifumo yao ya Usalama iko independent kwa ajili ya ustawi wa taifa. Sio unafananisha na nchi ambayo kwnz unaingizwa kwny kwa interest ya mtu/watu fulani na unafanya kazi kwa matakwa yao unachekesha tu
Muwe mnaangalia basi na profile ya nchi za kuwa na mifumo hyo sio mnaongea ongea tu
Mambo ya kijinga sana. Dini Yake ndio imemjenga hivyo? Kumbe sisi Watanzania tulikuwa tunalia yeye anafurahia mwenzake kufa ili nafasi ipatikane.Maushungi anasema Mungu akikupa fursa itumie!
Tupe madini mkuuPunguzeni kuangalia movie sana!
1.Umejuaje hayo?Wewe ni mtu wa ndani?
-Kama siyo umejuaje?Nani kakuhadithia?
-Kama ndiyo,mbona umeandika shallow sana?Mtu wa ndani huwa anaandika facts zilizoshiba na sio blah blah za kuokoteza!
2.Eti usalama wanaunganisha nguvu na nchi jirani kufanya uchunguzi!Really?Yaani taifa lipate msiba wa Rais halafu muanze kualika vyombo vya nje kuja kushirikiana kuchunguza kifo?Ni kanuni ya nchi gani?Tz au nchi zote?
Nways,kwenye huu uzi naona umeandikwa kwa hisia zaidi!
We zwazwa.Mambo ya kijinga sana. Dini Yake ndio imemjenga hivyo? Kumbe sisi Watanzania tulikuwa tunalia yeye anafurahia mwenzake kufa ili nafasi ipatikane.
Wanaweza kukubeza Ila we ni informer mzur
1. Sio Isack Rabin,.. ni Yitzhak Rabin.
2. Sio KJB,.. ni KGB!
3. Uzi utopolo!
Mkuu mi nakuelewa sanaWell mimi sio mtu wa idara na pia sio movie sio .penz wa mapicha ila napenda kujuwa kile kinaendelea duniani. Naomba kasome report ya kifo cha JF wa marekani, report ya kifo cha Isack Rabin na mwisho nokifumbue macho. Kama hujuwi basi ujuwe leo usiwe mshamba.
Wamarekani rafiki yao mkubwa ni Israel na UK hawa idara zao zina saidiana sana sana. Even kwenye matukio makubwa hawa wanasaidiana.
Tanzania tuna nchi tunasaidiana sana kwenye idara mfano kwa africa SA ni watu wetu, Hapo Mozambique ni watu wetu, zambia watu wetu Uganda watu wetu, Kenya ni marafiki zetu walisaidia sana vita ya uganda pia Kenya ni central or heaven of high profile intelligence unity usiniulize why... Zimbabwe wanatuheshim sana hapo Ethiopia, sudan kusin, Kongo kama ulikuwa hujuwi Tz is among the best intelligence agency in the world but is under ground. Nikianza kukupa madini utaniogopa nenda kakojowe kalale kama unafikiri taifa hili kuna vilaza basi pole.
Mkuu Wacha wampinge tu jamaa ila hawana factEt naona umeandika kwa Hisia???
Hisia ni nn??
Andika uzi wako, uliouandika kwa kukaa nakutafakari, na upembuzi yakinifu na akili yote, utuletee hapa.
Hivi Hujui, Rais kutoka Nchi jirani anaweza tumiwa, kumuua Rais wa Nchi husika anayetakiwa Kufa?.
Sio kidogoAlafu tuache ushamba mbona haya mambo yakawaida tatizo watu hatusomi ila hili ni somo la bure kwa kila mtu tusijiachie sana Kifo cha rais ni jambo lahatari sana kwa usalama wa Taifa.
Jamani! Kha usimlishe fikra hizo, inakatisha tamaa.....ili nafasi ipatikane.
Umesahihisha spelio tu ila hujaja na fact za kumpinga mwamba1. Sio Isack Rabin,.. ni Yitzhak Rabin.
2. Sio KJB,.. ni KGB!
3. Uzi utopolo!
Katika mambo yaliniachia majonzi Ni hilo la kujitangaza mapema namna hii eti atagombea kwa sababu amepata nafasi. Kufa kwa mwenzi ni fursa kwake kweli?
Sasa kwa mifano yote uliyotoa, mbona umetoa conclusion kwa kuangalia upande mmoja TU?Naandika haya kama elimu kwa watanzania na makada kujuwa hiki kipindi nikibaya sana kuunda makundi au kuanzisha vuguvugu la nani awe Rais nikitisho kwa usalama wa Taifa na Taifa.
NB
Ndugu msomaji huu uzi una nia moja kuwaelimisha watanzania kuepuka piga siasa wakati Rais ana fariki akiwa madarakani uzi huu hausiani na mtu au kikundi cha watu ktk siasa.
End
Bashite na Ole Sabaya waliwajambisha sana hao watu wanaoitwa idara nyeti.Not applicable in Tz. Usalama wa taifa nao wapo kama watumishi wa umma wengine, wanaweza kubemendwa na wanasiasa wakati wowote.
Tulainishie sisi "vilaza" tuelewe.Nimekuwa nikikufuatilia kwa muda sasa, kubali tu mfumo ukikutema kubali kuachika…
Haya labda yanafanyika Ulaya na USA huko, huku ni funika kombe mwendo mdundo..Uwenda watu wengi hawajuwi na huwenda wengi tunafikiri baada ya Rais wa Taifa kufa basi wakisha fukia na kupiga mizinga basi kazi imeisha. Na sasa kila mtu anaona kuna fursa basi aanze kupiga tarumbeta zake..
Jibu ni hapana.
Rais yeyote wa taifa anapo fariki Taifa huwekwa ktk hali ya hatari kwa kipindi kisicho julikana. Wakati huwo team ya watu maalumu inayo undwa na maofisa wa idara nyeti za usalama huwingia kazini na kuanza kutafuta tarifa nyeti na nzito ambazo hata yule alie kaimu huwenda hajuwi... Team hii ya makachero maalumu huwa na makachero maalumu kutoka idara nyeti za mataifa rafiki kufuwatilia sababu za kifo za Rais alie kuwa madarakani.
Kipindi chote cha upelelezi team hii ugawanyika ktk makundi yasiojulikana kuhakikisha yeyote alie ktk kikundi kile hatowi wala kuvujisha taarifa za siri kwa mtu au kikundi chochote. Nikipindi cha hatari na dhahima kwa yeyote anaye waingilia makachero hawa.
Nikipindi ambacho kama upo smart utasikia taarifa za vifo vya top government officer silence pasipo sababu zinajulikana ila moja wapo ni natural death. Alilala hakuamka, alikuwa kikao akasema hajisikii vizuri au covid19.
Niwakati wale walikuwa wandani wa Rais alie kufa hupita nyakati ngumu na mara nyingi kifo na uzima ubaki mikononi ya team inafuwatilia kifo cha rais. Sio wakati hata kama umepata nafasi ya juu sana unapaswa kuonyesha una hatamia au unaona kwako ni fursa maana unaweza kuwa mchawi pasipokujuwa mchawi na mwisho ukaingia ktk report ya siri ya usalama wa Taifa.
Labda niseme hapa kidogo ktk Taifa lolote lenye mifumo imara ya ulinzi hasa idara hii ya usalama wa Taifa nivigumu sana Rais wa nchi kuwa huru kama vile unasikia. Idara hii nyeti ya Taifa lolote huwa ni idara inayo angalia zaidi masilahi mapana ya Taifa na mara nyingi kama Rais wa taifa akienda kinyume na taratibu hii idara ubadilika kuwa adui wa siri wa kiongozi.
Labda nitoe mfano kule Israel mtendaji mkuu wa shughuli za taifa ni waziri mkuu. Waziri mkuu wa Taifa la Israel ni mtu mwenye nguvu sana na mpaka majeshi anaweza yapeleka vitani na kwa wenzetu wame advance huwezi fikia nafasi ya uwaziri mkuu kama hujafanya jambo zito lakijasiri kuitegea nchi yako. Una ambiwa kwa mfano waziri mkuu mstaafu Bwana Benjamin Netanyau ni moja ya mawaziri alie fikia level ya ukomandoo na sio tu komandoo tu jamaa na IQ 153 kama sijakosea yani ni moja ya mawaziri ana akili sana na sio hivyo tu ila kaka yake ni among most intelligent and among the special unity ktk kukomboa mateka kule uganda ila alikufa kwa bahati mbaya na mpaka leo taifa lina omboleza juu ya kifo chake.
Niende kwenye kile nataka kuwaambia kule israel alitokea waziri mkuu mmoja anaitwa Isack Rabin waziri mkuu huyu alifanya tukio ambalo kwa taifa la Israel nikuuwawa alifikiri kwa ushawishi aliokuwa nao na nguvu atawaunganisha Israel na Palestinian na kurudisha ardhi ya Palestinian. Jambo hili alofanikiwa ila aliporudi nyumbani Isack Rabin alipigwa Risasi na kufa hapo hapo na kijana alie kuwa ktk team ya wafuwasi wake.
Jambo la ajabu sana ktk tukio hili nikuwa kulikuwa na taarifa za siri sana kwamba kijana alie muuwa waziri mkuu alikuwa ni kijana alie pikwa kwa siri na team ya mossad ili kumu eliminate waziri huyu kwasababu alikuwa aki hatarisha masilahi mapana ya usalama wa Taifa hilo.
Mossad ni moja ya idara za usalama wa taifa la israel inayo ogopwa na mataifa hata makubwa na kama ulikuwa ujuwi idara hii inaheshimika mpaka na idara nyeti kama CIA, M16 ya UK pamoja na KJB nk. Idara hii haijawahi shindwa na data zake mara zote 100%
Mpaka leo kijana huyo yupo mahabusu na haijajulikana nani alie mtuma.
Rais wa Taifa kufa madarakani ni jambo lahatari sana maana huwa ni kama kibali cha kuuwa kwa jina la jamuhuri. Watu hufa watu hupotea kwa jina la jamuhuri niwakati hata wale wapo madarakani yawapasa kuwa makini na midomo yao ama mawazo yao. Niwakati ambao kama umepewa kurithi kiti basi kuongoza mka pale muda unaisha wa alie fariki nankukaa pembeni wenye nchi wamchaguwe wanaye mtaka ama usubiri kuona giza mbele kama giza liliwakumba watu wa zambia.
Sio muda eti kutangaza nia hapana epuka huwo mtego maana utaonekana mchawi. Nakufanya walio ktk upelelezi wa kifo cha Rais alie kufa kukuweka ktk list ya mambo yakuhisi.
Vyama vya upinzani nilazima kuwa makini hasa hiko kipindi maana unaweza jikuta mna hangaika na mtu msie muona why ni aina hii ya kazi ile team wanafanya.
Naandika haya kama elimu kwa watanzania na makada kujuwa hiki kipindi nikibaya sana kuunda makundi au kuanzisha vuguvugu la nani awe Rais nikitisho kwa usalama wa Taifa na Taifa.
NB
Ndugu msomaji huu uzi una nia moja kuwaelimisha watanzania kuepuka piga siasa wakati Rais ana fariki akiwa madarakani uzi huu hausiani na mtu au kikundi cha watu ktk siasa.
End
Tulainishie sisi "vilaza" tuelewe.