Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Asante sana mkuu wewe ndio umeongea point.Ndugu haya mambo ni kweli yanawezekana ila cyo kwa nchi Kama hii
Hyo Mambo Ni kwa highly systematized countries ambazo mifumo yake ni imara na hai ingiliwi na power ya mwananchi namba mara nyingi hata mifumo yao ya Usalama iko independent kwa ajili ya ustawi wa taifa. Sio unafananisha na nchi ambayo kwnz unaingizwa kwny kwa interest ya mtu/watu fulani na unafanya kazi kwa matakwa yao unachekesha tu
Muwe mnaangalia basi na profile ya nchi za kuwa na mifumo hyo sio mnaongea ongea tu
Huyu mjinga alikuwa akimwabudu yule marehemu ndio maana anaishi kwa kutumainia kivuli