Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

😂 😂 😂 🤣🤣🤣🤣
Katengenezena supu ya malapulapu halafu kachanganya utumbo mnene ndani yake
Hapo supu imetokea ya kijani na kimanjano kwa mbali..🤣🤣🤣
 
Acha ujuaji fatilia kifo Cha Sokoine utaona ,,,rais wa kipindi hicho akiizuia team maalumu ya ndani na kutoka nje iliyokuwa inachunguza kifo Cha kiongozi yule.

Yaan unadhania rais huwa anakufa Kama panzi....????
 
Ingekua hivo basi JK asingeruhusu JPM kua Rais.


Lkn pia, JK asingepuuzwa na TISS.


KAMA KUNA RAIS ALIYEPEWA USHIRIKIANO NA TISS 100% WAKAWA NAYE BEGA KWA BEGA NI JPM.
Halafu nashangaa Sana watu wanabeza Sana mfumo wetu wa vyombo vyetu vya Usalama .Nikwambie tu hii nchi ipo vizuri Sana kiusalama shida ni kutokujua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bos usiongee kwa hisia .Ebu jiulize JPM alikua na nguvu gani CCM had kuwa Rais?Sasa huoni kwamba kulikua na nguvu nyuma ya pazia iliyomweka?Mfumo wa ulinzi na Usalama wa hii Nchi ni zaidi ujuavyo.Mwalimu Nyerere huyu Mzee hakuna wa kawaida kwa mambo aliyoyafanya.

Pia fahamu kuwa Rais wa Nchi yoyote yenye mfumo wa ulinzi na Usalama uliomadhubuti Huwa hatokei ghafula tu Huwa anaandaliwa na mfumo wa Usalama zeni mnaletewa tu kupiga kura .Hiyo ipo duniani kote kwa Nchi ambazo zipo vizuri kiulinzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe si ndio uliyemtishia Ben saanane wiki moja kabla hajapotezwa?

Naweza kusema wewe ni mmoja wa vijana wa Magufuli waliokuwa wanatekeleza mauaji kwa waliokataa kumwabudu.

Acha kuongea ujinga ujinga muuaji mkubwa wewe
Sina dam au kuhusika hata kupanga kupotea kwa huyo kijana. Nilichofanya nikama nilichofanya ktk uzi huu. Kumtaadharisha End.
 
Umesahihisha spelio tu ila hujaja na fact za kumpinga mwamba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umekurupuka!

1. Nimesahihisha jina la mtu ambalo alilikosea.

2. Nimesahihisha jina la Taasisi/Idara ambalo alilikosea.

3. Maoni yangu kuhusu uzi.

Mtoa mada ameielewa comment yangu.

Haya, onesha wapi nimempinga 'mwamba'..!
 
Tz ni Nchi ngumu sana kiulinzi na kiusalama .Marais wote Huwa wanawaweka wao kulingana na data base ya Taifa kwamba akitoka huyu aingie nani.Tulianza na mtawala kutoka mashariki (mawio)akaja wa kisiwani,akafata wa mwisho wa Nchi,akafuata wa Bichi,tukaja kumpata anaetokea Jua linapozamia,now tunae .....je akitoka huyu atakuja yupi?Au ni kutoka hapo kati?Tuvute subra ingawa kiunabii Nchi ipo gizani bado .Tuliombee Taifa letu tuvuke salama plz tusimbeze mleta mada yupo sahihi kabsa .
Kumbukeni ajae ndo atailetea nchi maendeleo makubwa sana .Hivo after Giza ni mwanga tuipende Nchi yetu.EE MWENYEZI MUNGU MUUMBAJI TUNAKUOMBA UIBARIKI NCHI YETU .


Sent using Jamii Forums mobile app
 
100%Watu wanazani Rais hutokea tu kwa utashi wake tu.Nchi yetu inajua nani atafuta,Atulie tu haya mambo yataki haraka .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa mifumo mingi ya usalama sio kila jambo la kiusalama rais analalifahamu na baaadhi ya mambo rais ni kama muhuri tu ila kuna watu hupanga na kutenda bila idhini yake usalama ni jambo endelevu ila rais ni mpita njia tu
Duh nakubaliana na wewe kwa hili, maybe Kuna watu Wana see beyond for our national interest.
 
Acha ujuaji fatilia kifo Cha Sokoine utaona ,,,rais wa kipindi hicho akiizuia team maalumu ya ndani na kutoka nje iliyokuwa inachunguza kifo Cha kiongozi yule.

Yaan unadhania rais huwa anakufa Kama panzi....????
Sokoine alikuwa Rais wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…