Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Hivi unaposema "huwa anaandaliwa" unamanisha nn? [emoji38][emoji38] Yaani unataka kuniambia JPM aliandaliwa na Usalama??? You are deeply Wrong brother!

Narudia tena Mfumo wa Usalama nchi hii ni tofaut kabisa na nchi hizo zenye kitu kinaitwa "Mfumo" [emoji2][emoji2][emoji2] hivi unajua maana ya neno lenyewe mfumo kwanza?

Usitake kufananisha mfumo unaorecruit personnel kwa kuangalia una toka chama gani au unajuana na nani mkuu, hivi mbona unaongea kama mtu ambaye ni stranger kwny nchi hii, yan km vile umeshuka toka Cambodia leo Mkuu???

Ni hivi ningeweza kusema kwa luga nyingine kwmba "The intelligence agency of ....... actually has no intelligence"
 
Kungekuwa na hiyo mifumo Kikwete asingepata Urais.

Kikwete alipata Urais kwa nguvu ya genge la mafisadi la wanamtandao, ambao jaribio lao la pili kwa Lowasa likiferi, hapa panahitaji mjadala.
 
Mh.Rais SSH yuko sahihi kutangaza nia...tatizo la chama kikubwa Kama CCM wangeanza kupambania nafasi za kugombea na kuacha kufanya kazi.....ili kuwakatisha tamaa na kazi ziendelee mujarabu huo ni KUTANGAZA TU HUKO....
Kwa hiyo ametangaza ili kujampisha watu tu ila yeye hana nia ya dhati ya kugombea?
 
Idara ya usalama wa Taifa ina nguvu katika maamuzi ni nani awe Raisi, kumbuka songombingo la 2015 watu walijua Membe ndio atakuwa Raisi ila Mh. Kikwete akapigwa chenga na Idara na Magufuli akaibuka mshindi. Ila Membe nae alikuwa mbishi alikuwa mwanakitengo mwenye nguvu na ushawishi ila mahusiano mabovu na kitengo yakamfanya akose nafasi huwenda yeye ndie angelikuwa baada ya Jk.
 
MMimi
Mimi kama mama ataachwa agombee pekee nitaamini kumbe Usalama wa Nchi hii huwa haufanyi Vetting kwa Wagombea wa Chama Tawala kama ambavyo Siku zote tumeaminishwa. Na kwa jinsi hiyo UPINZANI hata wakiibiwa kura Zao wasiogope kuchukua hatua kwa sababu Wao hawaingilii mambo ya Kisiasa. Kweli kwa Nchi inayotaka kuendelea kwa kasi, mama anaweza kufikiriwa kuwa mgombea serious? Awe mgombea kwa maono yepi? Haya maono ya nadharia za Women Empowerment? Women Empowerment ni maono ya kulisongesha Taifa?
 
Acha ujuaji fatilia kifo Cha Sokoine utaona ,,,rais wa kipindi hicho akiizuia team maalumu ya ndani na kutoka nje iliyokuwa inachunguza kifo Cha kiongozi yule.

Yaan unadhania rais huwa anakufa Kama panzi....????
Hivi rais ameumbwa tafauti na viumbe wengine?
 
Mimi nimekupenda sana kwa kuwa unachambua mambo kwa kutumia kichwa tofauti na wanaotumia kwato. Nchi gani inatulia kwa Kiongozi asiye na maono? Hebu mtu atoke sasa hivi aseme maono ya mama. Nadhani kuna watu hawaelewi Maono ni kitu gani hasa! Hivi kauli ya mama kwamba TWENDE NA DUNIA ni Maono? Unaenda na Dunia wapi? Na Dunia ipi anataka twende nayo? Dunia ya Magharibi au Mashariki? Dunia ya Kusini au Kaskazini? Dunia ya Kutuona Waafrika hatuna cha kuchangia isipokuwa Ujinga na Ombaomba? Dunia inayotuona Waafrika hatuna uwezo wala mbinu za kutibu maradhi yoyote yale?
 
Kungekuwa na hiyo mifumo Kikwete asingepata Urais.

Kikwete alipata Urais kwa nguvu ya genge la mafisadi la wanamtandao, ambao jaribio lao la pili kwa Lowasa likiferi, hapa panahitaji mjadala.
Unaweza kuwa na ukweli ila sii kweli... JK nimoja ya kazi nzuri ya system. Nadhani JK aweza kuwa moja ya majasusi hatari kabisa yaliopikwa nakupikika kwa ajili ya kesho ya taifa hili. Tunaweza sema mengi ila mmmm huyu mzee sio wakawaida
 
Utamaduni na Desturi ni kitu kizuri ikiwa tu Utamaduni na Desturi hizo zina maana kwa Taifa. Nchi hii sio Mali ya CCM kiasi kwamba wajitungie Desturi ambazo haziachi tija kwa Wananchi. Naomba nikuulize: mama ana Sifa gani za kuachwa agombee dhidi ya maono yepi ya Taifa hili?
 
Asingekuwa na sifa wala JPM asingempendekeza mgombea wake mwenza....wala "vetting" isingekubali apite kwani katiba inaelekeza yupi anakuwa Rais ikitokea kilichotokea......

Mh.SSH ameshakuwa RAIS....

Ndani ya muda mfupi ameamuru mwendelezo wa yafuatayo:-

1)Ujenzi wa SGR
2)Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere
3)KULIENDELEZA jiji la Dodoma na ujenzi wa kiwanja cha ndege Msalato
4)Kaajiri vijana 8000(Tamisemi+Wizara ya Afya)...ilipita miaka 6 hakukuwa na ajira nyingi mpya
5)Kapandisha madaraja watumishi wa umma....ilipita miaka mingi hilo halikuonekana.....
6)Kaahidi kupandisha mishahara mwaka ujao wa fedha
7)n.k n.k

Haya niletee swali lingine la "MBANGO"......
 
Nakubaliana na wewe na ila sijaona nguvu yeyote hapo zaidi tu ya kuona uchama ulivyo ndani ya mfumo alafu sikia hata kama ni kipofu unatakiwa kufanya maamuzi huwezi shindwa kujua kati ya membe na JPM enzi zile ni nani alikua na nafasi ya kukipatia chama ushindi hii haikuhitaji uwe na degree ndio uelewe ndugu

Ndio nikakwambia idara cku zote ipo kuhakikisha chama kinatawala cjui umenielewa ndugu????
 
Kwa hiyo, hayo ndo maono? Kupandisha mishahara na kuendeleza aliyoyaanzisha aliyemtangulia ndo maono? Kwa haya tayari anastahili kuwa Raisi? Na je JPM angalikuwepo angalimuachia kiti? Kwa hiyo alipowaonya Kabudi na Lukuvi wasiwe na ndoto za Uraisi na kusema Raisi ajaye lazima awe kijana alimaanisha kijana mwenyewe ni huyu mama?
 
Mkuu unauliza maswali kama umtoto mdogo.....kwani JPM yupo?!! 😳😳😳

Ange.....
Ange....
Ange.....

Khaaa😳😳

Kwa hiyo mh.Rais hana maono ?!!

Nchi haina sera na dira ya ndani na nje?!!!

Kwa hiyo ni maono tu ya JPM ndiyo yaliyokuwa sahihi na si ya Mh.Rais SSH?!!!


Well......ni huyohuyo JPM aliyempendekeza/pendekezewa kuwa MGOMBEA WAKE MWENZA na akakubali...leo unamuuliza maswali atujibu?!!!

My take :

Nchi haifi akifariki RAIS wake......

#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
1. Kwa hiyo, alimpendekeza ili aje awe Raisi au Makamu wa Raisi?

2. Wewe unamuona ana Maono? Maono kama "Twende na Dunia inavyotaka" ni maono kweli?
 

Kwamba hatakiwi kuanza kufikiria mambo ya kutangaza nia.

Hiiiii!
 
1. Kwa hiyo, alimpendekeza ili aje awe Raisi au Makamu wa Raisi?

2. Wewe unamuona ana Maono? Maono kama "Twende na Dunia inavyotaka" ni maono kweli?
1)Makamu wa Rais

2)Kuhusu "Twende na dunia inavyotaka" umeelewa lipi la ajabu?!!!
Lini Tanzania ilikwenda kinyume na dunia inavyotaka ilihali tu wanachama wa UMOJA WA MATAIFA NA JUMUIYA YA MADOLA...

Una mfano upi wa Tanzania kupata kuishi "kuzimu"?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…