Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Hivi unaposema "huwa anaandaliwa" unamanisha nn? [emoji38][emoji38] Yaani unataka kuniambia JPM aliandaliwa na Usalama??? You are deeply Wrong brother!Bos usiongee kwa hisia .Ebu jiulize JPM alikua na nguvu gani CCM had kuwa Rais?Sasa huoni kwamba kulikua na nguvu nyuma ya pazia iliyomweka?Mfumo wa ulinzi na Usalama wa hii Nchi ni zaidi ujuavyo.Mwalimu Nyerere huyu Mzee hakuna wa kawaida kwa mambo aliyoyafanya.
Pia fahamu kuwa Rais wa Nchi yoyote yenye mfumo wa ulinzi na Usalama uliomadhubuti Huwa hatokei ghafula tu Huwa anaandaliwa na mfumo wa Usalama zeni mnaletewa tu kupiga kura .Hiyo ipo duniani kote kwa Nchi ambazo zipo vizuri kiulinzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia tena Mfumo wa Usalama nchi hii ni tofaut kabisa na nchi hizo zenye kitu kinaitwa "Mfumo" [emoji2][emoji2][emoji2] hivi unajua maana ya neno lenyewe mfumo kwanza?
Usitake kufananisha mfumo unaorecruit personnel kwa kuangalia una toka chama gani au unajuana na nani mkuu, hivi mbona unaongea kama mtu ambaye ni stranger kwny nchi hii, yan km vile umeshuka toka Cambodia leo Mkuu???
Ni hivi ningeweza kusema kwa luga nyingine kwmba "The intelligence agency of ....... actually has no intelligence"