Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?

Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?

Samia Suluhu amekwenda Afrika kusini kumuwakilisha RAIS Magufuri kwenye mkutano wa marais, je Kikwete naye ni Rais? na amekwenda kule kumuwakilisha nani? kamwe nchi hatutompa tena mswahili mswahili, nyinyi kipaji chenu ni kucheza ngoma tu na siyo uongozi.

Ameenda kukutana na masela wake kwani aliwamis sana
 
Ni dhahiri kuwa kwa kauli yake hiyo amekiuka apizo alilolifanya Novemba 2005 na akalirudia November 2010 pale Uwanja wa Taifa.Pia ni dhahiri ramesababisha shilingi kushuka thamani kwa kasi ya ajabu katika miaka 10 aliyewatumikia Wananchi akiwa angani ama ughaibuni.
Kama kavunja katiba ataacha kuvunja katiba
 
Back
Top Bottom