Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hilo likuwa ni kuongozwa na wacheza segere na taarabu. Mwisho wake nchi imekuwa shamba la bibi kila mtu aliyeona ya kukwapua anakwapua tu
Duuu jamani huyo ni rais wetu mstaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo likuwa ni kuongozwa na wacheza segere na taarabu. Mwisho wake nchi imekuwa shamba la bibi kila mtu aliyeona ya kukwapua anakwapua tu
Apige marufuku mauzo yote ndani ya nchi kufanywa kwa hela za kigeni. Hilo litasaidia sana kuipa thamani pesa yetu. Kwasasa wafanyabiashara wanauza kwa pesa za kigeni hata kwa vitu vya kawaida. Pia kodi za nyumba baadhi ya wenye nyumba wanalipwa kwa dola na mahotelini
JK yupo afrika kusini na samia
Mara kadha tulimsikia rais mstaafu mh. Kikwete akiita pesa ya Tanzania kuwa ni pesa ya madafu, kwa kweli nilikuwa naumia sana, nilikuwa naumia kwa kuwa nilikuwa najua madhara ya rais kudharau thamani ya pesa ya nchi yake na nafikiri tunaiona mwishoni mwa kipindi chake. Watu wanalipana kwa dora au Euro na si shilingi tena.
Magufuli usije ukafanya haka ka mchezo, pesa yetu ina thamani sana kama ikithaminiwa na kuheshimiwa
Nyerere hawezi kufanya huo ukichaa, tupe ushahidiJina hilo hata Nyerere aliliita, kuwa pesa yetu ni ya madafu. Unatuambiaje kuhusu Nyerere kuiita pesa yenye picha yake hivyo?
Mkwele tangu lini akawa na akili?
Angalau yeye ameheshimu katiba siyo kama wakina uh
Well said Mkuu pamoja sanaMara kadha tulimsikia rais mstaafu mh. Kikwete akiita pesa ya Tanzania kuwa ni pesa ya madafu, kwa kweli nilikuwa naumia sana, nilikuwa naumia kwa kuwa nilikuwa najua madhara ya rais kudharau thamani ya pesa ya nchi yake na nafikiri tunaiona mwishoni mwa kipindi chake. Watu wanalipana kwa dora au Euro na si shilingi tena.
Magufuli usije ukafanya haka ka mchezo, pesa yetu ina thamani sana kama ikithaminiwa na kuheshimiwa
Taifa limekuwa bila kiongozi kwa miaka 10.
Yule bwana wa Msoga ameumiza wengi sana...Mara kadha tulimsikia rais mstaafu mh. Kikwete akiita pesa ya Tanzania kuwa ni pesa ya madafu, kwa kweli nilikuwa naumia sana, nilikuwa naumia kwa kuwa nilikuwa najua madhara ya rais kudharau thamani ya pesa ya nchi yake na nafikiri tunaiona mwishoni mwa kipindi chake. Watu wanalipana kwa dora au Euro na si shilingi tena.
Magufuli usije ukafanya haka ka mchezo, pesa yetu ina thamani sana kama ikithaminiwa na kuheshimiwa
Yule bwana wa Msoga ameumiza wengi sana...
Walau sasa tuna Rais.
Mungu mlinde Magufuli.
Kwenda zako hapa, hiyo tafsiri yako ni kutokana na andiko lipi?Pesa ya madafu maana yake ni pesa inayopata thamani yake kutokana na uzalishaji wa ndani " madafu, pamba, kahawa etc", angetaka angesema "pesa ya kahawa" badala ya " pesa ya madafu"
Khaa!! Jamani nyie wakimbizi nini? Hicho ni kiswahili safi kikiwa na maana pesa ya ndani ( local currency). Sasa Kama mnashindwa hata kuelewa maana ya pesa ya madafu basi idara ya uhamiaji inahusika :mvutaji:
Jina hilo hata Nyerere aliliita, kuwa pesa yetu ni ya madafu. Unatuambiaje kuhusu Nyerere kuiita pesa yenye picha yake hivyo?