Éndelea kujidanganya tuNi mkuu wa mkoa wenye hadhi kubwa!
Hata Somaliland Kuna Rais,Taiwan Kuna Rais,HongKong yupo,Visiwa vya Shirikisho la Uingereza Wana Mawaziri wakuui nk .Je umewahi ona Bendera au uwakilishi wa hizo unaita Nchi kwenye Jumuiya za Kimataifa?Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB.
Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa.
Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo zimesababishwa na ugeni wa kiongozi huyu mashuhuri wa nchi ya Zanzibar.
Kama ilivyo kawaida kiongozi mkuu uongozwa na kimulimuli cha rangi ya njano.Kimulimuli cha rangi ya blue kinamhusu Majaliwa na naibu waziri mkuu na viongozi wengine wapendao vimulimuli.
Karibu Tanganyika,karibu Arusha.
Hong Kong kuna C.E.O.....Hata Somaliland Kuna Rais,Taiwan Kuna Rais,HongKong yupo,Visiwa vya Shirikisho la Uingereza Wana Mawaziri wakuui nk .Je umewahi ona Bendera au uwakilishi wa hizo unaita Nchi kwenye Jumuiya za Kimataifa?
Jibu ni kwamba Urais wao hauna tofauti na kina Karia wa TFF.
Na kwakuwa Rais wa JMT ni Mzanzibar Watanganyika mtanyooshwa na haki zote za Wazanzibar watazipata awamu hii.Hata Somaliland Kuna Rais,Taiwan Kuna Rais,HongKong yupo,Visiwa vya Shirikisho la Uingereza Wana Mawaziri wakuui nk .Je umewahi ona Bendera au uwakilishi wa hizo unaita Nchi kwenye Jumuiya za Kimataifa?
Jibu ni kwamba Urais wao hauna tofauti na kina Karia wa TFF.
hata MANZESE TIP TOP pia kuna C E OHong Kong kuna C.E.O.....
Zanzibar ni nchi na walikuwa na kiti chao UN.Hivi Zanzibar ni nchi?
Kumbe,Walikuwa na kiti ila sasa hawana...Zanzibar ni nchi na walikuwa na kiti chao UN.
Zanzibar ni nchi na walikuwa na kiti chao UN.
Kiti chao ndio kinachotumiwa na TanzaniaKumbe,Walikuwa na kiti ila sasa hawana...
Kazia hapo kwamba sasa hawana kiti.
Kwani wewe unafurahia Wazanzibar wakinyimwa Haki zao? Mnyooshwe vipi Kwa watu kupewa Haki zao?Na kwakuwa Rais wa JMT ni Mzanzibar Watanganyika mtanyooshwa na haki zote za Wazanzibar watazipata awamu hii.
Kote huko Kuna PM tofauti na WA BritainHong Kong kuna C.E.O.....
and
Hakuna shirikisho la Uiengereza,,,
England = Uingireza
Great Britain = uningreza + Wales + Uskochi
United Kingdom =Umoja wa kifalme ,nchi ni
United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland
Mkuu,Kiti chao ndio kinachotumiwa na TanzaniaView attachment 2992517
Kipo wapi sasa?Zanzibar ni nchi na walikuwa na kiti chao UN.
Prime Minister ni wa U.K na siyo Britain....Kote huko Kuna PM tofauti na WA Britain