DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
Endelea kuaminiMimi naamini Zanzibar inaitawala Tanganyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuaminiMimi naamini Zanzibar inaitawala Tanganyika.
Kiti cha Tanganyika kinatumiwa na nani?Kiti chao ndio kinachotumiwa na TanzaniaView attachment 2992517
Wanazipata. Ndiyo maana anajenga kila kipembe. Fursa kwa watu kuneemeka kupitia miradi.Na kwakuwa Rais wa JMT ni Mzanzibar Watanganyika mtanyooshwa na haki zote za Wazanzibar watazipata awamu hii.
United Kingdom of Great Britain.Prime Minister ni wa U.K na siyo Britain....
Zanzibar ni nchi na walikuwa na kiti chao UN.
Kiti chao ndio kinachotumiwa na TanzaniaView attachment 2992517
Ni Rais wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar.
Zanzibar ni nchi taka usitake.
Acha uongo wewe. Hong Kong ipo China. Pia Somaliland imebakiza kufikisha nchi kadhaa itambulike kimataifa. Kenya Wana ubalozi Somaliland .Hata Somaliland Kuna Rais,Taiwan Kuna Rais,HongKong yupo,Visiwa vya Shirikisho la Uingereza Wana Mawaziri wakuui nk .Je umewahi ona Bendera au uwakilishi wa hizo unaita Nchi kwenye Jumuiya za Kimataifa?
Jibu ni kwamba Urais wao hauna tofauti na kina Karia wa TFF.
Ni protokali mkuu. Rais akishaingia ni ngumu kuruhusiwa kuingia Tena.Nimeshangazwa sana na kitendo cha CRDB kuwazuia wanahisa wake wanaochagia angalau kwa kiwango cha chini mafanikio ya CRDB, kwa kuwazuia wasiingie kwenye seminar eti kwa kuwa Makonda na Mwinyi kama wakuu wametangulia kuingia kwenye ukumbi.... Getini pale kulikuwa na ucheleweshaji usiokuwa na faida yoyote kwa kwani wanahisa hawakubeba mabomu ya kulipua ukumbi.
Huu mwelekeo wa kuingiza siasa kwenye masuala ya biashara na uwekezaji tena wa umma yatairudisha CRDB kuzimu. Nimesafiri kutoka Dar es salaam kuhudhuria mkutano na semina badala yake nakuta walinzi wa Ikulu mlangoni wakizuia wanahisa kuhudhuria sherehe inayowahusu???....Hii haikukaa sawa hata kidogo. 😳😳😡😡
Mtu anayekusanya ushuru wa forodha usimlinganishe na Karia anayekusanya gate collection Benjamin Mkampa Stadium au Uwanja wa Manungu Turiani Morogoro.Hata Somaliland Kuna Rais,Taiwan Kuna Rais,HongKong yupo,Visiwa vya Shirikisho la Uingereza Wana Mawaziri wakuui nk .Je umewahi ona Bendera au uwakilishi wa hizo unaita Nchi kwenye Jumuiya za Kimataifa?
Jibu ni kwamba Urais wao hauna tofauti na kina Karia wa TFF.
Na Tanganyika nayo ilikuwa na kiti UN. Tukakubaliana nchi iitwe Jamhuri ya watu wa Tazania. Ninyi mkatulaghai mnaendelea kuitwa nchi ya zanzibar na watanganyika wamebaitizwa tanzania bara nchi ambayo haijawahi kuwepo dunia hii.Zanzibar ni nchi na walikuwa na kiti chao UN.
Mkoa wenye hadhi ni TANGANYIKA maana hata bendera hatuna Wala nchi yenyewe tu haipo.Ni mkuu wa mkoa wenye hadhi kubwa!
Karia ana mpambe wa Jeiwii?Hata Somaliland Kuna Rais,Taiwan Kuna Rais,HongKong yupo,Visiwa vya Shirikisho la Uingereza Wana Mawaziri wakuui nk .Je umewahi ona Bendera au uwakilishi wa hizo unaita Nchi kwenye Jumuiya za Kimataifa?
Jibu ni kwamba Urais wao hauna tofauti na kina Karia wa TFF.
Ni mkuu wa mkoa wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ZanzibarRais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB.
Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa.
Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo zimesababishwa na ugeni wa kiongozi huyu mashuhuri wa nchi ya Zanzibar.
Kama ilivyo kawaida kiongozi mkuu uongozwa na kimulimuli cha rangi ya njano.Kimulimuli cha rangi ya blue kinamhusu Majaliwa na naibu waziri mkuu na viongozi wengine wapendao vimulimuli.
Karibu Tanganyika,karibu Arusha.